Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Kaachiwa miradi mikubwa na hayati JPM na ni lazima imalizike yote. Wanaosema asikope hawana hata senti tano ya kuipatia Serikali ili isitafute pesa huko nje. Ni makelele ya wajuaji wa kitanzania.
Makusanyo ya Kodi ikiimarishwa tutapunguza kukopa
 
Hizi naziona ni kama vile ramli za wale jamaa wa JPM, tukumbuke Mabeyo alimhakikishia SSH ulinzi kipindi chote cha urais wake.
Ila una matatizo ya akili, hizi ramli hata JPM akiwa hai zilikuwepo. Tena ni huyohuyo
Hivi vitu ni ngumu kuvizuia watu kusema. Tafuta nyuzi za huyo jamaa kipindi Cha JPM utaelewa
 
Bwawa la nyerere Bora lisiishe Mana sukuma gang watakwambia jpm hoyee. Mama mamiradi yote ya jpm achana nayo Mana ukimaliza tu sifa zote ni kwa jpm siyo wewe. Angalia pale salenda sukuma wanampongeza jpm badala yako
Acha ukabila wewe!
 
Mkimuondoa mama SAMIA before 2025 mtakuwa mmemuonea Sana,kwann msisubiri mpaka 2025?
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.


Nakubaliana na wewe Kijakazi , watu wengine nadhani wanasumbuliwa na UCHAWA ,hivyo kulazimisha ulinganishi hata pale usipokuwepo ili tu kumpamba wampendae! Yote hayo wanafanya kwa msukumo wa njaa na malengo yao ovu; onyo lako kuwa wawe waangalifu katika uchawa wao linastahili!
 
Samia kashafeli kwenye baadhi ya Mambo mfamo kumfungia Mbowe na bado hajaaza utelezaji wa katiba mpya.Na pia tunahitaji visionary leader angalia mama kawaweka mawaziri wa Aina gani kaacha mawaziri wazuri.
Hakuna waziri mzuri anayetokana na CCM.
Hakuna waziri mzuri anayetokana na mbunge ambaye mwenyekiti wake ndiye anayepitisha jina la kugombea ubunge.
Hakuna kitu chochote kizuri bila ya katiba mpya.
 
Nakubaliana na wewe Kijakazi , watu wengine nadhani wanasumbuliwa na UCHAWA ,hivyo kulazimisha ulinganishi hata pale usipokuwepo ili tu kumpamba wampendae! Yote hayo wanafanya kwa msukumo wa njaa na malengo yao ovu; onyo lako kuwa wawe waangalifu katika uchawa wao linastahili!
Tangu lini Tumia akili akawa chawa?Huyu ni mfikisha ujumbe nyeti KWA watz wenye akili timamu wanamwelewa!!Nenda Kasome ule uzi wake wa "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda""halafu usome paragraph ya Mwisho KABISA alipo andika KUWA"tulimshauri hakusikia sasa hayupo"halafu UNIAMBIE unaelewa nini!!??
 
Back
Top Bottom