Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.
Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.