Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Weka hicho kipengere hapa mkuu; kwanini tuandikie mate na wino UPO!?
Icho hapo jisomee
Screenshot_20220125-065611.jpg

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Icho hapo jisomeeView attachment 2094701

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu, kama nimeelewa vizuri hicho kipengere ni kwamba endapo Magufuli angefariki either mwaka hu au mwakani then mama ilikua ruksa kugombea mara 2, yaani 2025 na 2030 lakini kwakua Magufuli alifariki 2021, miaka 4 kabla ya uchaguzi mkuu means mama anakua kashikiria kwa muda wa miaka zaidi ya 3 and hence hiyo clause 4 hapo ulio inukuu inamuondolea sifa ya yeye kugombea mwaka 2030, anatakiwa kumuachia mwingine!
 
So well planned
 
The wheels are turning...' blood, blood everywhere '.
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku 1. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya qqqÀlll100 katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.

Bila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
Nani huyo?mbona ungesema kea kujiamini?Mpango,Majaliwa?nani?
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
naiwe
 
Raisi akifa mrithi anakuwa chini ya uangalizi wa jeshi for two years akizingua jeshi. Linapindua meza na ni halali sio uhaini. Kwaiyoo mtatumia hii fursa? If yes itafanyika january or february? Madaraka bana
 
Halafu wanafanyaje?nchi inakua chini ya jeshi?au kunakuwa na Raisi mteule atakae apishwa na jaji mkuu??
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Msitutajie January Makamba jamani, wala msitutajie Kikwete aliye haribu kabisa mfumo mzima wa maadili ya umma
 
Back
Top Bottom