Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Kwenye hiyo kashfa itakayochezwa itawatoa wote wawili halafu jaji mkuu atashikilia kwao muda ndipo Makam Mwenyekiti ccm Zanzibar itaamuliwa asimamie kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025!!atakua Raisi mteule wa jmt kwa miaka miwili!!!kwa huku kwetu lolote linawezekana hata katiba inawekwa kando kwao muda!!!wenye nchi wakiamua lao Nani atabisha??
we jamaa unapenda sana hizi mada inaonekana unamuelewa sana jamaa akili hahah
 
Toa ushambaa hapa ,utashia kusifia, ooo mapambio wala huwezi kutubadilisha kituu bwana ,

Nyookooo eti mnyenyekevu

Kama ni shujaa umwachie mboye
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajio

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
 
nahofia haujaelewa alichomaanisha tumia akili, numbers, numbers numbers. Oh numbers
If wishes were horses, beggars would ride!
1642778210485.png
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Mda ni mwalimu.
As long as nothing will last forever.
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Ungejipa muda wa kutulia na kusoma huku kichwa kikiwa huru bila mafaili ya kale ungechangia kilicho bora zaidi
 
Back
Top Bottom