Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Huyu wetu sidhani, mtu anasisitiza bei zipande, vitu vinapanda lkn kima cha chini ni kile kile for 6 yrs now, ajira hakuna, kuna mambo mengi yako hovyo
 
JPM ndiye rais aliyekopa kuliko wote tangu 1961 na Ndugai akiwa spika alikaa kimya, aliufyata kama haoni kilichokuwa kikiendelea.

Leo analeta dharau kwa sababu anamuona rais ni mwanamke.
Harafu wapuuzi sijui wanamfanya nani mtoto.Harafu hii mentality ya kijinga kuhusu mikopo aliwafundisha nani?

China imefika hapo sio kwa hardworking tuu bali na kwa kukopa,tena hadi leo haitaki waipandishe kwenye nchi zilizoendelea kwa sababu itapoteza previleges za mikopo nafuu nk
 
Hivi nyie Wazee wa huko humuoni mambo yalivyoparaganyika? Kumbukeni basi hata ndugu zenu mliowaacha Kijijini maana bei ya bidhaa haishikiki. Ambao hawajakulia kwenye mboga Saba wanajua naongea nn.
Rais mwingine akija ndio ataamrisha bei zishuke afu zitashuka au? 😀 😀
 
Ninatamani jamaa arudi kutuelezea je kuwa mzalendo nchi hii ni kosa?

Maana kama kweli walimwondoa wakaacha waliowaacha kutufanyia wanayotufanyia mtumia akili nyingi kweli akili zake zimezidi na kuzidi mpaka amechanganyikiwa na hao wenzake walioamua kufanya walichokifanya...I know and I know giza likitandaa zaidi asubuhi inakuwa imekaribia...My Aba father, unanini nami? Muda wangu bado!
Kwamba mwendazake alikuwa mzalendo au?😀😀.

Kwa kweli tunatofautiana labda alikuwa mzalendo ila kwangu yule alikuwa Rais mjinga zaidi tuliyewahi kupata na angeendelea Nchi ingekuwa kama Zimbabwe au MYNMAR.
 
Alikwambia angalia digits za mwisho. 1933 digit ya mwisho ni 3.

So, anachokisema ni 2023-2025 (2 years). Hii timeframe haitoshi kuwa awamu. As such, huyu anaruhusiwa na Katiba kugombea na kuongoza kwa mihula miwili ya 5 years each: 2025-2035

Kwa lugha rahisi huyu ndugu anajenga hoja kwamba Hangaya ataachia by end of 2022 (kifo, kuondolewa, anything) na makamu wake atachukua Nchi hiyo 2023🙂

Katiba yetu kimsingi imempa unafuu sana Makamu kutwaa Nchi kiuraini
Will never happen,mark my words
 
Kwamba mpaka mafuta ya Kula au vyakula vimepanda bei kutokana na Vita vya urusi na Ukraine
 
Mungu zuia hili lisitokeee,sijawahi kumuelewa Philip Mpango.
Japo hizi ni wishful thinking ila kama ikitokea nitafurahi sana ili huyo mpango awe na msimamo kama wa JPM na awaweke headliners wote kuongoza Nchi afu tuone baada ya miaka 5 mje na hesabu wangapi wamekuwa matajiri na wangapi wamekuwa maskini.
 
Kwamba mpaka mafuta ya Kula au vyakula vimepanda bei kutokana na Vita vya urusi na Ukraine
Ndio maana nasema Nchii ima wajinga wengi sana kwenye vyeo mkiweno nyie wafuasi.

yaani mtu unashangaa kuhusu mafuta kupanda bei wakati huo huo hata huelewi kwamba Tzn inaagiza nusu yua mafuta ya kula acha ya magari kutoka nje,yet unashangaa.

Pia kwa jinsi mlivyojaza uji vichwani mlipo hapo hata haujui kwamba Ukraine sio tuu inazalisha 25% ya mafuta ya alizeti duniani bali inategemewa pakubwa kwa ngano na mbolea,hapo hapo unataka vita ithiathiri hivi vitu..

Kana kwaba haitoshi hakuna Nchi hata moja ambayo haijakumbwa na mfumuko wa bei sio tuu kwa sababu za vita bali toka 2020 uchumi ulipofunguka baada ya covid.Nyie wenye akili ndogo hata hamjui chochote mnachojua vitu vitashuka bei kwa matamko ya hao naowaona wanafaa kuwaongoza.Poleni sana.
 
Natamani nikujibu, ila naomba wakati ukujibu, leo acha nipige kimya!
Wakati upi tofauti na huu? kwa hiyo wewe mwenzetu ulikuwa mnufaika wa zama za jiwe wakati tunasema vyuma vimekaza mnatujibu tuache kupiga dili si ndio?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.

Mpaka katiba ibadilishwe na ni ngumu. Raisi Samia baada ya muhula huu atakuwa na muhula mmoja tu kisheria 2025-2030
 
Tumia akili, unamanisha huyu mwamba ambaye ni makamu anaweza tuvusha kweli, Mana simwamini nahisi ana philosophy za jiwe ivi
Eng. inasemekana huyu mwamba ndio mhandisi mkuu wa mapinduzi ya kifedha tangu zama za stone; beauro de change// task force etc. etc. Na hata mamushka alipompromote alisema anataka amsaidie kwenye sekta hiohio aliobobea kiumahiri kwaio hizi tozo// luku+buku// na postcode ni gia ya kuvuna mchele pia ila hawasemi etc. etc.

Mwamba kimuonekano mpolee, mtaratibuu, mtulivuu, tabasamu all time etc. etc. Ila huko kweke medula oblangata ni vyuma vinaumana kwelikweli. Sio mtu wa mchezomchezo

Ni ndoto niliota mwaka jana.
 
Wakimweka wa bara itaonekana wamemuondoa coz ni mzenji, wakimweka mkristo watasema wamemuondoa coz ni muislamu!Sasa atakaeingia anapaswa awe mwanamme muislamu mzanzibari !!!kuna jina teuliwa naliona limeandaliwa tena aliwahi tumika kama Waziri kiongozi wa smz na Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi aliepokewa na Mwinyi junior!!!kiswahili ni JUA tafsiri ya jina lake kiarabu!! mtumishi humble,calm, visionary,patriotic na intelligent!!!nimemuona tayari anakuja na ni mkali kama jpm!!!huyo Ndio FDR WETU!!!?
Me niko karibu yako nakufuatilia kwa uzuri kabisa huenda tafsiri zako na maono yako yakawa kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom