NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
KWA hiyo elimination method via corona!!?again mourning as we did last year!!!?lakini ikiwa beyond 17/3/23 itakuwa ngumu mkuu!!Na mabadiliko hayo corona inahusika. Bt Katiba mpya itapatikana 2026 Na WARIOBA ataizindua.
Ufipa!!?hiyo code decoded!!how sure you are Mzee atazindua!!?asante KWA ku decode code za Tumia akili!!nadhani Brain respiratory shut down kwa HESABU kali Sana corona just imaginary objective KWA laymen! Asante! knowledge extracted from de'levis!!Yote haya CHANZO ni CORONA. Nani alimshauri mkt wa ufipa ACHANJE? Hatakalia kiti hicho. Miaka miwili tangu importation ya chanjo ya kwanza tunatikiswa tena! By the way furaha ni kuwa tutapata KATIBA mpya 2026 Na mzee Wetu WARIOBA ndo ataizindua.
Kinyonga wa KIJANI na MANJANO ni chama Wala Si mtu.Na huyo FDR wetu yupo bungeni, Si mwanasiasa ila ni verrry vissssionarrrry. Anabadili upepo wa siasa atakavyo. Mbingu zimeamua awe. TUMIA AKILI anatumiwa na mwenye AKILI asiyechunguzika. Dunia yote huweka Watawala awatakao.
Sawa!!kinyonga kitakufa 2000020003000 Sio na FDR ndio achukue!!!!? Halafu hii nembo mpya ndio mbadala wa kinyonga!!!?Kinyonga wa KIJANI na MANJANO ni chama Wala Si mtu.
CORONA so kitu mwanadamu anafix, Katika ulimwengu wa roho CORONA ni mnyama. Mungu anaipenda TANZANIA hataki watu wake wapigwe Chapa ya mnyama kupitia CHANJO. Ili hayo yasitokee Watawala waachane na habari ya chanjo. Nadhan umeona bungeni upanga umeanza tena kama adhabu Kutoka Kwa MUNGU.KWA hiyo elimination method via corona!!?again mourning as we did last year!!!?lakini ikiwa beyond 17/3/23 itakuwa ngumu mkuu!!
Ina Maana upanga huo ni Baada ya walengwa kuchanja!!?je wamechanja wengi Sana!!?na wote upanga utawakata wote waliochanja!!!?CORONA so kitu mwanadamu anafix, Katika ulimwengu wa roho CORONA ni mnyama. Mungu anaipenda TANZANIA hataki watu wake wapigwe Chapa ya mnyama kupitia CHANJO. Ili hayo yasitokee Watawala waachane na habari ya chanjo. Nadhan umeona bungeni upanga umeanza tena kama adhabu Kutoka Kwa MUNGU.
Ktk maono kifo Cha KINYONGA kama chama kilikuwa ghafula hivyo mtikisiko kdg ungetokea bt KATIBA ndo itasawazisha hayo maana vyama pinzani havina Dira thabiti kama chama tawala!Sawa!!kinyonga kitakufa 2000020003000 Sio na FDR ndio achukue!!!!? Halafu hii nembo mpya ndio mbadala wa kinyonga!!!?
Ktk maono kifo Cha KINYONGA kama chama kilikuwa ghafula hivyo mtikisiko kdg ungetokea bt KATIBA ndo itasawazisha hayo maana vyama pinzani havina Dira thabiti kama chama tawala!
Nasikitika kusema Ivo, wengi wamechanja hata mwenyekiti wa cdm kachanja, bt kiongozi mkuu hajachanja, abadili tu Jin's anavodeal na corona. ndomana nasema chama tawala kikianguka ghafula Nchi itayumba sababu upinzani ni dhaifu kimaono. Katiba itasaidia ilo.Ina Maana upanga huo ni Baada ya walengwa kuchanja!!?je wamechanja wengi Sana!!?na wote upanga utawakata wote waliochanja!!!?
Mkuu Zama zinateketea KWA Kasi Sana!!kama Mwenyekiti ufipa kachanja atamfuata mzee wa sawa sawa mbona itaumiza Sana na mwisho kabisa wa nembo ile inayodai katiba KILA SIKU!!?nilitarajia huyo jamaa aule kwenye mseto wa utawala ujao Baada ya KATIBA MPYA kupatikana!! NIMEUMIA!Nasikitika kusema Ivo, wengi wamechanja hata mwenyekiti wa cdm kachanja, bt kiongozi mkuu hajachanja, abadili tu Jin's anavodeal na corona. ndomana nasema chama tawala kikianguka ghafula Nchi itayumba sababu upinzani ni dhaifu kimaono. Katiba itasaidia ilo.
Ni collective kama waamuzi, mmoja baada ya mwingine. Corona haijaisha, mwaka huu ndo Kasi kubwa zaidi. Maombi, maombi, maombi, maombi yanahitajika.Ina Maana upanga huo ni Baada ya walengwa kuchanja!!?je wamechanja wengi Sana!!?na wote upanga utawakata wote waliochanja!!!?
Mission YAKO pia naijua!NENO ZITO SANA HILO HADI NIMEOGOPA!MIMI NI MEMBER TU SINA MISSION YOYOTE LABDA DEVINE POWERS ZIAMUE NIWE MTU!!Ktk ulimwengu wa roho hakuna Siri, take it positive Abt niyasemayo. Mission Yako pia naijua. TANZANIA ni yetu sote tuipende Kwa vizazi vijavyo.
Kuchanja kumemuondolea sifa ya kukaa ktk kiti kikubwa. Bt haondoki kama unavodhani atakuwa mdogo kimamlaka, ataongozwa.Mkuu Zama zinateketea KWA Kasi Sana!!kama Mwenyekiti ufipa kachanja atamfuata mzee wa sawa sawa mbona itaumiza Sana na mwisho kabisa wa nembo ile inayodai katiba KILA SIKU!!?nilitarajia huyo jamaa aule kwenye mseto wa utawala ujao Baada ya KATIBA MPYA kupatikana!! NIMEUMIA!
Naonekana lakini kwenye rada ya kiroho ya huko kwako!!?hatma je ikoje!!!?funua!!Ktk ulimwengu wa roho hakuna Siri, take it positive Abt niyasemayo. Mission Yako pia naijua. TANZANIA ni yetu sote tuipende Kwa vizazi vijavyo.
Mkiri YESU kuwa ni Mungu na mwokozi wa maisha Yako. Acha UOVU na DHAMBI ,Anza kuamuru SHETANI azitapike baraka na utajiri wako ALIOMEZA, hutabaki hapo ulipo, utaona unaongezeka na kupanda juu sana ktk kila kitu.Naonekana lakini kwenye rada ya kiroho ya huko kwako!!?hatma je ikoje!!!?funua!!
Mmh mbona sasa kiki zinazidi kuwa kubwa?Duh aisee Tumia akili hebu muacheni mama aiseee, Mwendazake amefanye nichukie viongozi wanaume ipo siku watatuuwa. Bora mama maisha yanaenda bila kiki za kipuuzi na kudhalilishana.
Mnamezeshana ujinga tu hapoKuchanja kumemuondolea sifa ya kukaa ktk kiti kikubwa. Bt haondoki kama unavodhani atakuwa mdogo kimamlaka, ataongozwa.
Ni HAKI Yako Kutoa maoni.Mnamezeshana ujinga tu hapo
Busara itafuatwa, hawatakosea kama ilivotokea b4SSawa ngoja tusubiri!!! FDR atachukua KWA nembo ileile sio!!?Lakini lazima lady gaga akae pembeni Sasa atakalishwaje!!? Na makam wake watamkwepaje asiule KWA ubovu wa katiba uliopo!!?au wataondoka simultaneously halafu WAANZE upya usukaji kikosi sio!!!?
Kumbe shetani amemeza Baraka na utajiri wangu!!!!?Aiseh niache dhambi!!?nitaweza kweli!!!?Maana taasisi za kiroho si ziamini huwafanya watu Kuwa watumwa wa jumapili au mosi kwa mapato kulishanichosha Sana huko!! MAUMIVU ni Mengi huko kuliko baraka Labda niwe kivyangu tu!!!Kanisani hapana msikitini hapana ibada za kwenye haya majengo zinachosha Sana Akili na Moyo WANGU!!kukiri ni shakiri lakini Maisha Sasa Ndio KAZI!!!Mkiri YESU kuwa ni Mungu na mwokozi wa maisha Yako. Acha UOVU na DHAMBI ,Anza kuamuru SHETANI azitapike baraka na utajiri wako ALIOMEZA, hutabaki hapo ulipo, utaona unaongezeka na kupanda juu sana ktk kila kitu.