Kabisa mkuu. Baada ya maisha ya hapa duniani yapo mengine ya milele.Usiogope WANADAMU, mwogope MUNGU ambaye anaweza kuua mwili na asiishie hapo Akamtupa JEHANUM Kwa mateso ya milele!!!![emoji34][emoji34]
Haya mkuu majina mawili yamepandishwa hukooo na mdau mmoja ana miaka 43 na mwingine 37 mwakani 44 KWA 38 je yupi Kati ya huyo!!kuna mmoja tayari ana vigezo VYA kikatiba ambapo ni zaidi ya miaka ya 40 na mwingine BADO au mtasubiri Hadi uchaguzi mkuu wa 2026 awe na miaka 41 ndio apewe uskani wa kugombea!!!?we waonaje!!?nasikia mmoja aliandaliwa na mwendazake aje achukue mikoba yeye akistaafu!!Busara itafuatwa, hawatakosea kama ilivotokea b4
Ndugu Tunakoelekea TANZANIA inasukwa upya Ili atawale Mwenye mamlaka. KATIBA ndo muhimu Kwa sasa kuliko hata mtu atakaekalia kiti hicho. KITI hicho ni Cha moto, hakikaliki. Ktk hao wa2 hayupo wa kukaa hapo!Haya mkuu majina mawili yamepandishwa hukooo na mdau mmoja ana miaka 43 na mwingine 37 mwakani 44 KWA 38 je yupi Kati ya huyo!!kuna mmoja tayari ana vigezo VYA kikatiba ambapo ni zaidi ya miaka ya 40 na mwingine BADO au mtasubiri Hadi uchaguzi mkuu wa 2026 awe na miaka 41 ndio apewe uskani wa kugombea!!!?we waonaje!!?nasikia mmoja aliandaliwa na mwendazake aje achukue mikoba yeye akistaafu!!
Kwamba the State wenyewe ndio watawale sio!!!?kwa HIYO FDR ATAKUWA kama nembo tu Hapo kwenye kiti atawalae atakuwepo akimpa MAELEKEZO sio!!?Nasubiri Huyo atakae teuliwa kushika hatamu kwa hamu Sana!!!Ndugu Tunakoelekea TANZANIA inasukwa upya Ili atawale Mwenye mamlaka. KATIBA ndo muhimu Kwa sasa kuliko hata mtu atakaekalia kiti hicho. KITI hicho ni Cha moto, hakikaliki. Ktk hao wa2 hayupo wa kukaa hapo!
Ndugu hao the STATE wanapanga Yao bt yupo MUNGU aliye juu ya hao wote. Ktk TANZANIA yetu baada ya huyu, Illuminati hawataweka mtu wao!!!Kwamba the State wenyewe ndio watawale sio!!!?kwa HIYO FDR ATAKUWA kama nembo tu Hapo kwenye kiti atawalae atakuwepo akimpa MAELEKEZO sio!!?Nasubiri Huyo atakae teuliwa kushika hatamu kwa hamu Sana!!!
Aiseh!! we jamaa!unataka kusema nini!!?pastor Festo chinolo ALIKUJA na uzushi fulani juu ya tarehe 3/3/2022 tukasubiri hola!!mbona unataka kwenda Kule Kule !!kwamba nafasi HIYO Mungu kajitwalia anataka akae YEYE Hapo Sio!!!?wewe ndugu yangu Wewe!!unataka kuniambia state haiendi tena kutawala!!!Lakini unabii wa manabii wa Sasa Huwa siamini Sana Mkuu!!!ni kama kuna siasa ndani yake na utafutaji PESA!!umenishangaza!!Sasa nakuona kama mkristo!unataka kusema Mungu atatawla NCHI kupitia muislamu hapo mbele!!!yaani kristo kupitia Islam sio!!?aiseh!!MKUU UNATAKA KUWA UPANDE WA KINA GWAJIMA NAONA SASA!!Ndugu hao the STATE wanapanga Yao bt yupo MUNGU aliye juu ya hao wote. Ktk TANZANIA yetu baada ya huyu, Illuminati hawataweka mtu wao!!!
Ndugu Unabii huo ulitimia,ingawa Si kama mlivotegemea, ni tarehe hiyo hiyo usiku MBOWE aliitwa Ikulu na kesho yake ulisikia NENO HAKI likitamkwa na viongozi wote. Na Akawa HURU!!!!Aiseh!! we jamaa!unataka kusema nini!!?pastor Festo chinolo ALIKUJA na uzushi fulani juu ya tarehe 3/3/2022 tukasubiri hola!!mbona unataka kwenda Kule Kule !!kwamba nafasi HIYO Mungu kajitwalia anataka akae YEYE Hapo Sio!!!?wewe ndugu yangu Wewe!!unataka kuniambia state haiendi tena kutawala!!!Lakini unabii wa manabii wa Sasa Huwa siamini Sana Mkuu!!!ni kama kuna siasa ndani yake na utafutaji PESA!!umenishangaza!!Sasa nakuona kama mkristo!unataka kusema Mungu atatawla NCHI kupitia muislamu hapo mbele!!!yaani kristo kupitia Islam sio!!?aiseh!!
Same date ifuatilie Kwa makini next yr.Ndugu Unabii huo ulitimia,ingawa Si kama mlivotegemea, ni tarehe hiyo hiyo usiku MBOWE aliitwa Ikulu na kesho yake ulisikia NENO HAKI likitamkwa na viongozi wote. Na Akawa HURU!!!!
Aiseh!Haya!!!unafikiri MUNGU atatawla KWELI hapa tz!!?NISEME Sana nisije nikakosa mbele yake!!Ndugu Unabii huo ulitimia,ingawa Si kama mlivotegemea, ni tarehe hiyo hiyo usiku MBOWE aliitwa Ikulu na kesho yake ulisikia NENO HAKI likitamkwa na viongozi wote. Na Akawa HURU!!!!
Ndipo HAO nyuki watakatifu watashuka na kumzuia asiingie kitalani na Huyo FDR NDIO achukue!!au Hao nyuki ni mabaka mabaka !!?Same date ifuatilie Kwa makini next yr.
Aliyepo anaenda kukabidhi kiti hicho Kwa aliepitishwa na Aliye juu, Mungu kutawala maana yake ni Kuwa Atakalia kiti mtu ambaye atamuuliza Mungu ktk kila jambo ktk kuwaongoza watu wake.Aiseh!Haya!!!unafikiri MUNGU atatawla KWELI hapa tz!!?NISEME Sana nisije nikakosa mbele yake!!
Uchaguzi wa mwaka 2015 usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi nikaota ndoto sauti kubwa ikiniambia ETI nimekuchagua kama nilivomchagua Magufuli nilishangaa sanaa!!Huwa si sahau HIYO ndoto hadi leo!!japo kwa Sasa kwa Dunia Hii kutawala kwa kutegemea MUNGU ni ngumu Sana !!ngoja Tuone!!Aliyepo anaenda kukabidhi kiti hicho Kwa aliepitishwa na Aliye juu, Mungu kutawala maana yake ni Kuwa Atakalia kiti mtu ambaye atamuuliza Mungu ktk kila jambo ktk kuwaongoza watu wake.
Aliyepo anaenda kukabidhi kiti hicho Kwa aliepitishwa na Aliye juu, Mungu kutawala maana yake ni Kuwa Atakalia kiti mtu ambaye atamuuliza Mungu ktk kila jambo ktk kuwaongoza watu wake.
Nilikwambia ktk ulimwengu wa Roho hakuna SIRI, haijalishi alieingia huko kaingia Kwa UCHAWI au kaingia kupitia ROHO wa Mungu. kama unatunza kumbukumbu vzr utakumbuka she yahya alitabiri kuwa TANZANIA atakuja tawala RAIS mwenye jinsia ya kike.Ndipo HAO nyuki watakatifu watashuka na kumzuia asiingie kitalani na Huyo FDR NDIO achukue!!au Hao nyuki ni mabaka mabaka !!?
Ndio na akasema Baada ya Hapo nchi itaenda UPINZANI!!ngoja Tuone labda chama cha UMOJA!!Nilikwambia ktk ulimwengu wa Roho hakuna SIRI, haijalishi alieingia huko kaingia Kwa UCHAWI au kaingia kupitia ROHO wa Mungu. kama unatunza kumbukumbu vzr utakumbuka she yahya alitabiri kuwa TANZANIA atakuja tawala RAIS mwenye jinsia ya kike.
Rudi Kwa Mungu kupitia Maombi uliza maelekezo zaidi juu ya KUCHAGULIWA kwako.Uchaguzi wa mwaka 2015 usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi nikaota ndoto sauti kubwa ikiniambia ETI nimekuchagua kama nilivomchagua Magufuli nilishangaa sanaa!!Huwa si sahau HIYO ndoto hadi leo!!japo kwa Sasa kwa Dunia Hii kutawala kwa kutegemea MUNGU ni ngumu Sana !!ngoja Tuone!!
Ukitumia Njia hiyo ya kumuuliza MUNGU atakuonyesha hata huyo ajaye hutaumiza sana KICHWA kumjua.Ndio na akasema Baada ya Hapo nchi itaenda UPINZANI!!ngoja Tuone labda chama cha UMOJA!!
MAOMBI mzigo MZITO wenye kuchosha Sana!Naweza ingia nikaomba KAWAIDA Sana tena bila nguvu nyingi!!Mungu Huwa mbali Sana wakati Mwingine!!Rudi Kwa Mungu kupitia Maombi uliza maelekezo zaidi juu ya KUCHAGULIWA kwako.
No, Mungu yupo karibu zaidi ya mwenzi, mnaita Zero distance, na husema na Kila mtu ,kila wakati haijalishi unasikia au husikii, haijalishi unaelewa au huelewi, akiona huelewi mchana, usiku atakuletea ndoto. Nikwambie hili Kwa Habari ya Magufuli kukataa LOCKDOWN wakati Dunia nzima ikiwa ktk HOFU kuu, NI MUNGU alimpa ujasiri Ule. Fikiri angekuwa huyu aliepo tungekua ktk Hal Gani!!!MAOMBI mzigo MZITO wenye kuchosha Sana!Naweza ingia nikaomba KAWAIDA Sana tena bila nguvu nyingi!!Mungu Huwa mbali Sana wakati Mwingine!!
Mkuu nimefuatilia comment zako nimeshindwa kupita bila kusema chochote..No, Mungu yupo karibu zaidi ya mwenzi, mnaita Zero distance, na husema na Kila mtu ,kila wakati haijalishi unasikia au husikii, haijalishi unaelewa au huelewi, akiona huelewi mchana, usiku atakuletea ndoto. Nikwambie hili Kwa Habari ya Magufuli kukataa LOCKDOWN wakati Dunia nzima ikiwa ktk HOFU kuu, NI MUNGU alimpa ujasiri Ule. Fikiri angekuwa huyu aliepo tungekua ktk Hal Gani!!!
Na pia alikuwa mlemavu wa polio.Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.