Kumtambua mtu Kuwa ni nusu pepo nusu mtu nayo ni kazi Sana!!!
Kumtambua mtu Kuwa ni nusu pepo nusu mtu nayo ni kazi Sana!!!
Hawezi kukuangalia straight, ni kama Wana aibu machoni. Ingawa Si wote wanakwepesha macho ukimkazia.Niliwahi kusikia wengi wanatambuliwa kwa macho yao
Ilianza na Mungu kwa kuangamiza na kuteketeza native americans?!
SIASA;Kumtambua mtu Kuwa ni nusu pepo nusu mtu nayo ni kazi Sana!!!
MkuuSIASA;
Ni waongo, wanafurahia mateso ya wananchi, ni wanafiki, ni viongozi wa wauza sembe mostly, wanahamisha ushoga nk.
MITINDO na FASHION.
Ni wabunifu wa MITINDO ya uvaaji duniani, wanabuni mavazi ya KUZIMU na MITINDO ya huko ivaliwe duniani.
NYUMBA ZA IBADA.
Ni waasisi wa mafarakano, wanavaa nusu uchi, wanaleta ugomvi Kwa wanamaombi, wanashawishi watumishi kuzini,nk.
MOVIES NA MUZIKI.
Ni wanapendwa sana ni mastaa kuhakikisha uzinzi na uasi unatamalaki ktk jamii.
UCHUMI.
Wana pesa nyingi mno,majumba ya kifahari, hutojua wamevipataje.
KAZI.
Wanahama sana KAZI, hakosi KAZI, unaweza wafananisha na ''VIPEPEO'',.
KIFO.
Hawafi, Ukiwa nae ktk chombo Cha usafiri, husababisha ajali na Yeye hapati madhara yoyote, Hafi, atapotea tu hamtamuona sababu wanahama sana, Ikitokea kafa ni zuga tu, ataenda Kuzaliwa family ingine.
NDOA.
Atakuvunjia mahusiano na mtu sahihi, ukimuoa lazima urudi nyuma kimaisha.
SHULENI.
Ni waasisi wa vurugu, ukijoin mishe zake alizoanzisha mwisho anakusaliti,Wana akili sana.
MWONEKANO.
Ni kama Wana aibu machoni, anakwepesha ukimkazia, macho yake hayawezi ku reflect picha. Atembeapo hawezi kuliface jua, analipa jua mgongo. Ni wenye hasira, wanafurahia habari za vifo na UOVU, Nia ni kufanya umtende Mungu dhambi. Au ufe ktk dhambi.
KTK KUISHI.
Ni mtu wa kufuatilia maisha Yako kukuharibia maisha Kwa kila namna, mfitini, hapendi maombi,
ANGALIZO:
Unahitaji msaada wa Mungu zaidi kuwatambua, uwe na macho ya rohoni maana Si wote waliotajwa hapo juu ni wao, wengine waeza waiga hao mapepo ukawaona na tabia HIZO. AMEN.
Mafanikio ya kiuchumi ya Marekani ndio yamepotosha wengi kiasi kufikiri kuwa yanatokana na baraka za Mungu.Kitu wasichokijua wengi ni kwamba mareken imejengwa katika misingi ya kishetan kabisa ni pure evil state
Si Marekani pekee, Dunia nzima huhakikisha Watawala ni watu wao, ndomana utaona wanaochaguliwa kama Si wa ROMA basi ni ISLAM.Mafanikio ya kiuchumi ya Marekani ndio yamepotosha wengi kiasi kufikiri kuwa yanatokana na baraka za Mungu.
Hata Yesu alipojaribiwa aliambiwa akimsujudia mkuu wa dunia hii atapewa milki.
Ni waroma au waislam wangapi wamewahi kutawala amerika tangu ipate uhuru?!Si Marekani pekee, Dunia nzima huhakikisha Watawala ni watu wao, ndomana utaona wanaochaguliwa kama Si wa ROMA basi ni ISLAM.
Hao ndio wamebuni teknolojia zote na mitandao aina mbalimbali na mifumo ya kiinteligensia duniani na kiutawala.
Wanasoma sana wale VIPEPEO'' na mengi MAZURI huyafanyia KAZI, Unadhani Mbowe kupelekwa jumba like usiku wa tareh 3 ni bahati mbaya?Najiuliza uzi kama huu kinana,kikwete,Mama,na vigogo wengine Huwa wanasoma kweli!!?
Usiku wa Festo chinolo na unabii wake wa tarehe 3 mwezi wa 3 mwaka huu!!!?Wanasoma sana wale VIPEPEO'' na mengi MAZURI huyafanyia KAZI, Unadhani Mbowe kupelekwa jumba like usiku wa tareh 3 ni bahati mbaya?
Nenda fanya utafiti. Nimesema wanahakikisha Watawala ni watu ,"WAO" habari ya dini zao ni zuga tu. Ndugu Mimi sijui kubishana, Wala KULALAMIKA, nikiona jambo haliko sawa natafuta SOLUTION Kwa njia ya rohoni kupitia MAOMBI.Ni waroma au waislam wangapi wamewahi kutawala amerika tangu ipate uhuru?!
Us
Usiku wa Festo chinolo na unabii wake wa tarehe 3 mwezi wa 3 mwaka huu!!!?
Nadhani namjua mmojawapo aliempa taarifa jpm juu ya chanjo ya corona ni 666!ni huyo mjoli ambaye umesema ni FDR WETU ajaye!!NAJIULIZA kama mama anajua kuwa ataachia kiti kwa Huyu FDR!Hata habari za corona, Magu aliletewa ujumbe wa manabii akasikiza ndipo akatoka kifua mbele kukataa CHANJO. Ile ni 666. Watawala Wanalindwa kimwili na kiroho pia.
Roho ya mauti inapoingia ktk family, msipostuka Wana family mkasahau KUOMBA Ili kuvunja roho hiyo, Huwa Ina TABIA ya KUJIRUDIA majira Yale Yale na nyakati zile zile.Nadhani namjua mmojawapo aliempa taarifa jpm juu ya chanjo ya corona ni 666!ni huyo mjoli ambaye umesema ni FDR WETU ajaye!!NAJIULIZA kama mama anajua kuwa ataachia kiti kwa Huyu FDR!
MkuuRoho ya mauti inapoingia ktk family, msipostuka Wana family mkasahau KUOMBA Ili kuvunja roho hiyo, Huwa Ina TABIA ya KUJIRUDIA majira Yale Yale na nyakati zile zile.
Kuna familia moja, wao Kila ikifika tarehe 9 mwez April Kila mwaka walikuwa wanapata msiba, na KIFO chanzo ilikuwa ni ajali, iliwachukua muda mrefu sana wakipoteza ndugu, waliposhughulikia tatz mauti ya namna Ile ilikata.
Ni story tu ndugu. Hujawah sikia habar za magonjwa ya kurithi, hutizami jinsi umaskini na level ya maisha ya Watanzania inafanana? Mambo hutokea juu huko yalipoanzia.Mkuu
WEWE
Na hilo umeliona!!!?
KWA mfumo ule ule!!?
Umekuwa Lema!!?
Haya Ndugu!!
Lakini angalau hakuchanja Sasa watasingizia nini!!?ugonjwa ule ule!!?
Aiseh!!!?
Are you buying this cheap propaganda?!NAJIULIZA kama mama anajua kuwa ataachia kiti kwa Huyu FDR!
Ni story tu Mkuu!!tunapiga story kama kawaida!!Are you buying this cheap propaganda?!
Naanza kupata picha kwanini matapeli wanafanikiwa kirahisi sana bongo ππ
Ooh; kumbe hata huyo unayesema alisalimika kwenye ajali mbaya kitonga kwa msaada wa majini ni story za kusukuma muda!Ni story tu Mkuu!!tunapiga story kama kawaida!!
Muda uende!!
You call it PROPAGANDA, sie ni hekaya tu, don't take it serious.Ooh; kumbe hata huyo unayesema alisalimika kwenye ajali mbaya kitonga kwa msaada wa majini ni story za kusukuma muda!
Mnapojadili mambo mazito ya kiimani kimzaha kwenye majukwaa kama haya mnayashushia hadhi.
You call it PROPAGANDA, sie ni hekaya tu, don't take it serious.
WakuuOoh; kumbe hata huyo unayesema alisalimika kwenye ajali mbaya kitonga kwa msaada wa majini ni story za kusukuma muda!
Mnapojadili mambo mazito ya kiimani kimzaha kwenye majukwaa kama haya mnayashushia hadhi.