Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Mwaka Mpya

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Mwaka huu hauishi sio?
 
Lema amerudia tena jukwaani Leo, kuwa alipenyezewa taarifa na akamwambia Lissu na akakiri kuwa aliambiwa na akapuuza.

Bado unaamini mtu huyo ni WA kawaida?
 
Usiku wa CHINOLO 3/3/2022 ulivurugwa na waungwana waliosaidia MBOWER kutolewa gerezani na akawa huru tarehe 4 march.

Kabla ya 9/3/2023 limefanyika tena jambo kubwa lililoleta tabasamu ktk mioyo ya wengi nchini.

HAKI imeonekana ikitendeka na watu wamefurahi.

Ukitenda HAKI inazaliwa AMANI ktk Nchi,

Mamlaka imecheza vizuri kuepuka LAANA na Giza lililokuwa linaitamani Amani na mustakabali wa uongozi wa Nchi yetu.

Tanzania unapendwa sana na Mungu,

Ubarikiwe Nchi yangu nzuri.

Aamen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…