Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Huyo mtu!!
Hasikiki Sana kwenye vyombo vya habari,wala hana juhudi zozote za kuutafuta u FDR!

Atakuwa introvert in nature!ananikumbusha Mwinyi enzi zake za uwaziri wa ulinzi!!

Kijana Inocent Bashungwa,ana fall kwenye category Hiyo!!

Ningesema Mpango But no coz lile Boko la samaki kanda ya ziwa linaharibu KWA sifa tajwa hapo!

Ya Mungu Mengi pia! ngoja Tuone!
Mwaka Mpya

Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Mwaka huu hauishi sio?
 
Mtoa uzi nina mashaka nae kama yuko hai maana Last seen September, 2022
6EB2672F-CC5C-4E14-861E-E9509EAE9F70.jpeg
 
Hahaha hamna kitu mkuu.
Rashidi namfahamu personal tangu tunabangaiza wote maisha hapo msewe. Kanisa lake nimepiga bati na kuzungushia mabati kipindi anaanza huduma zake, yeye kutwa alikuwa anashinda hapo cafe anawapanga wazungu wamwage pesa.

Akija KWANGU analia lia lia hali ngumu BASI mkewe anatuchinjia visungura[emoji1787].

Tulioshi na rashidi tunamjua in and out hana hizo sifa kabisa hafahi hata kuongozana kijiji.

Rashidi mjanjaa mjanja ambaye anacheza na fursa.
Magu alijaa KWA rashidi akawa anampiga matukio tu.

Wa wasiojua wanafikiri jamaa ni mtu wa kitengo labda icho kitengo Apewe SASA hivi.

Dr gwajima ndiyo alikuwa anatupiga tafu ya maisha[emoji28]
Lema amerudia tena jukwaani Leo, kuwa alipenyezewa taarifa na akamwambia Lissu na akakiri kuwa aliambiwa na akapuuza.

Bado unaamini mtu huyo ni WA kawaida?
 
Usiku wa CHINOLO 3/3/2022 ulivurugwa na waungwana waliosaidia MBOWER kutolewa gerezani na akawa huru tarehe 4 march.

Kabla ya 9/3/2023 limefanyika tena jambo kubwa lililoleta tabasamu ktk mioyo ya wengi nchini.

HAKI imeonekana ikitendeka na watu wamefurahi.

Ukitenda HAKI inazaliwa AMANI ktk Nchi,

Mamlaka imecheza vizuri kuepuka LAANA na Giza lililokuwa linaitamani Amani na mustakabali wa uongozi wa Nchi yetu.

Tanzania unapendwa sana na Mungu,

Ubarikiwe Nchi yangu nzuri.

Aamen.
 
Back
Top Bottom