Hapana.Afya ya Mpango tangu apigwe na covid-19 nadhani sio ya kutegemea!ya Edo tuyaache kabisa!! LAKINI kwa series za vifo vya viongozi wa umma vilivyotokea Mpango hawezi akategemewa kutuvusha hadi hapo 2035 !!Labda Mwinyi junior ndio mwenye sifa tajwa kuwa intelligent,humble,patriotic etc!! Mkonga mpya wa Taifa wa network kule zenji unambeba Kama sifa tajwa za Tumia akili!!!
Usiogope hakuna aijuae kesho.Lakini nyie the state mnatukosea Sana!!kwanini mnafanya majaribio ya Maisha ya watu??kama hiki ulichoandika ndio halisi kwanini msingempa madaraka mtu wenu mapema hapo 2015 mkampa yule ambaye mlimuexcute Baada ya maumivu ya watz ya muda mrefu?? sasa leo mnataka kuanzia upya mageuzi kwanini wakati mageuzi ni machungu Sana??? Sasa hapo ni kama tunaanza mwanzo kabisa wakati nchi hii inamiaka 60 tangu tupate uhuru!!!mmeiacha ccm kama chama Cha mauaji na genge la mafisadi yanayobebana na kuitafuna nchi!!!Kama hayo mageuzi yanakuja basi yaje kwa nembo mpya ya chama coz CCM Ina damu nyingi Sana na kukosa uhalali wa kuendelea kupendwa na watz!!
Nazi germany wakijenga barabara au reli kwa wingi?Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.
Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Nazi germany wakijenga barabara au reli kwa wingi?
Point of correction, hii ilikuwa project ya Eisenhower sio FDRalijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany
Trust me Mpango hapewi nchi!!Lazima awe mwislamu!!akiwekwa Mpango kijasusi haitokaa sawa!!Miaka miwili ya mwisho atakuja Rais mwingine. Na hiyo haitahesabika kama awamu yake ya kwanza, hivyo atagombea 2025 na 2030.
2035 atakuwa ametimiza miaka 12.
Probably ni bwana Mpango!
Waha wote oyeee
Mmmh kwamba kuna mwengine tena 2023??Bila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
sawa kaka Nape umeeleweka. Endelea kutema material mkuu, kumbe unaijua history vzr.Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Wakuu

Mama kawazingua ngoja tuone hatma yake!!
Hakuna linalotokea bila mipango mirefu huko nyuma, nchi sio kikoba kwamba unamtoa mwenyekiti kiwepesi wepesi tu.Mama kawazingua ngoja tuone hatma yake!!
Magufuli yeye aliondokaje? Tumuombee tu Mpango. Kuna watu walifura alipoteuliwa umakamu wakidai hakijui chama wakaenda hadi kumtusi rais eti ana elimu ya kuungaunga kama ya mzee Mwinyi.Watafanya mechanism gani ili kumtoa Mpango?