Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
we jamaa unapenda sana hizi mada inaonekana unamuelewa sana jamaa akili hahahKwenye hiyo kashfa itakayochezwa itawatoa wote wawili halafu jaji mkuu atashikilia kwao muda ndipo Makam Mwenyekiti ccm Zanzibar itaamuliwa asimamie kipindi cha mpito kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025!!atakua Raisi mteule wa jmt kwa miaka miwili!!!kwa huku kwetu lolote linawezekana hata katiba inawekwa kando kwao muda!!!wenye nchi wakiamua lao Nani atabisha??
Jamaa akitoa uzi lazima uchungulie possibility za Uzi mwenyewe!!Ngoja tuone!!we jamaa unapenda sana hizi mada inaonekana unamuelewa sana jamaa akili hahah
Katiba inasema kama ni miaka isiyozidi mitatu basi anaruhusiwa kugombea 10 ya kwakeHivi katiba si inamruhusu kugombea kipindi kimoja tu, yaani mwaka 2025; hiyo ya 2030-2035 mnaitoa wapi? Unless tubadiri katiba
Hebu weka nukuu ya katiba hapa mkuu! Remember mama kachukua while imebaki miaka 4 awamu iisheKatiba inasema kama ni miaka isiyozidi mitatu basi anaruhusiwa kugombea 10 ya kwake
Tuombe uzimaMwakani si mbali
Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajio

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
If wishes were horses, beggars would ride!nahofia haujaelewa alichomaanisha tumia akili, numbers, numbers numbers. Oh numbers
!!Tanzania Tanzania nakupenda kwa Moyo wote!!!!2023🇹🇿🇹🇿
Lets wait and see!!!Tanzania Tanzania nakupenda kwa Moyo wote!!!!
Mara nyingi huyu jamaa akiandika huwa harudi tena kwenye uzi wake ,Mkuu Tumia akili tangu aandike hii mada hajarudi tena...
Kwani mkuu Pascal Mayalla huwezi kutuambia huyu jamaa ni nani?
Mda ni mwalimu.Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Ungejipa muda wa kutulia na kusoma huku kichwa kikiwa huru bila mafaili ya kale ungechangia kilicho bora zaidiLkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.
Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Weka hicho kipengere hapa mkuu; kwanini tuandikie mate na wino UPO!?Katiba inasema kama ni miaka isiyozidi mitatu basi anaruhusiwa kugombea 10 ya kwake
View attachment 2089382 @mazindu msambile kifungu hicho hapo