Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Sasa wewe kama umeshindwa kung'amua tu kuwa huo udereva wangu ni code yangu,ndiyo unaweza kweli kujiona unaelimu?Yaani wewe ni mweupe kama walivyo weupe kichwani watumishi wengi wa halmashauri huko pamoja na kujitangaza daily eti wana MAPHD.
MAPHD ni nini? Si unaona ulivyo mtupu kichwani?
 
NAONA wamepandisha majina mawili jukwaani kuwa MMOJA wapo anaandaliwa kuchukua kijiti baada ya mama mtifuano HUO unaweza kuzaa chaguo la tatu ambalo NDIO la Mungu Ili nchi iongozwe kitumishi na Sio kishetani kama ilivozoeleka!! Ngoja Tuone!
Yupo atakaepita katikati ya wote na kwenda kukabidhiwa kiti. Busara itatumika.
 
MAPHD ni nini? Si unaona ulivyo mtupu kichwani?
Mtupu ni wewe unayelialia kila kona dhidi ya serikali baada ya kuishi ndani ya box la madarasa uliyofika.Great Thinkers huwa tunawaza nje ya box na kutengeneza njia mbadala za kutanua uchumi wetu.
Wewe ni miongoni wa wale wanaopenda kujitambulisha kwa level zao za madarasa badala ya ufanisi wao wa kazi.
 
Unamiliki kampuni alafu unaajiriwa kama dereva? Ila mm nimedharau elimu yako kutokana na uwezo wako unaoonyesha.
Wapo wenye elimu ndogo kama yako Ila wapo vizuri upstairs
Mkuu!Umefanya juhudi sana hadi kufahamu kuwa mimi ni Dereva.Lakini shughuli hiyo ulifanya baada ya kuona nilivyo mbali sana kifikra hata ukataka kunifahamu mimi ni nani!.
Sasa ndiyo nakuambia,udereva ni code yangu ya kimafia huku nikifanya makubwa nje ya code hiyo.[emoji16][emoji16][emoji16] Mkuu!Elimu ni ile inayokupa pesa za kutosha,vinginevyo hicho cheti ni uchafu.
 
Mtupu ni wewe unayelialia kila kona dhidi ya serikali baada ya kuishi ndani ya box la madarasa uliyofika.Great Thinkers huwa tunawaza nje ya box na kutengeneza njia mbadala za kutanua uchumi wetu.
Wewe ni miongoni wa wale wanaopenda kujitambulisha kwa level zao za madarasa badala ya ufanisi wao wa kazi.
Ww dereva unaishia nje ya box gani bana, kaa kwa kutulia
 
Mkuu!Umefanya juhudi sana hadi kufahamu kuwa mimi ni Dereva.Lakini shughuli hiyo ulifanya baada ya kuona nilivyo mbali sana kifikra hata ukataka kunifahamu mimi ni nani!.
Sasa ndiyo nakuambia,udereva ni code yangu ya kimafia huku nikifanya makubwa nje ya code hiyo.[emoji16][emoji16][emoji16] Mkuu!Elimu ni ile inayokupa pesa za kutosha,vinginevyo hicho cheti ni uchafu.
Hakuna mafia mwenye akili ndogo, piga gear
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Ikawe sawa sawa na ulivyoandika,Amina.
 
Umeelewa nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Kuna kete zimeanza kusukumwa polepole mjengoni ,nzito nzito kumjenga FDR wetu wakati ambao wakubwa wamepoteana juu ya nini kifanyike Kwa Habari ya Bei za mafuta.
 
Kuna kete zimeanza kusukumwa polepole mjengoni ,nzito nzito kumjenga FDR wetu wakati ambao wakubwa wamepoteana juu ya nini kifanyike Kwa Habari ya Bei za mafuta.
Ngoja tuone itakuwaje maana mambo ni mengi ambayo ni mafumbo mafumbo tu.
 
kweli kapata hoja mafuta yamebaki bei chini katika eneo lake,juzi kaongeza wafanyakazi 15.6% mishahara kweli deep state wanamtengenezea njia nyeupeee peeee
 
Back
Top Bottom