Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Kwahizi ripoti za CAG na ufisadi unaondelea ni wazi kabisa Mama hatoendelea 2025
 
Sidhani

Mpango sidhani kama ni mtu wao!!halafu sifa za muhusika ni humble, intelligent pia kishafanya kitu kama pension za wastaafu,mifumo ya kimtandao na n.k!!ni nani??zaidi ya Mwinyi Junior aliezindua mkonga wakitaifa mitandao?? Zanzibar inang'aa kwa sasa na watu wanamkubali kama Mwinyi??
Hahahah , MR 001 bado uko na haya mawazo ama ?
 
Natamani Dr mwinyi awe Rais wa Tanzania.yupo vizuri Mara 100 ya huyu mama.
Hahaha
BADO sana tusubiri!!
Hahaha Sawa Mkuu acha sisi wateja wa kampuni tuendelee kununua tu bidhaa .

Ila hiyo bidhaa inayoletwa Sokoni haiwezi kupita kwa wale jamaa wa Quality Assurance maana Upatikanaji wake tu wa Zabuni board haikuridhia, navyokumbuka Mwenyekiti aliepita wa board kwa sababu alikua na maslahi na mbunifu wa hiyo bidhaa akatumia kura yake ya veto kuipitisha hiyo bidhaa ikauzwe kule kisiwani iko na impurities nyingi sana !
 
Nasikia hata 003 aliikataa hiyo bidhaa AISEH!!

Nasikia bidhaa THAMANI yake imepandae hadi inakodisha ardhi kama poni ya mauzo huko kisiwani au sio!!!?
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Tumia akili ,binafsi nimemuelewa Sana Tena sana.ila sijajua ni Kama juzi au ni plan B,itatufikisha hapo.oky ngoja tuone !!
 
Back
Top Bottom