Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Na wewe ungepambana tungekua tunakuandika saa hizi ila umekalia umbea. Unataka usikie anauza unga au ana utajiri wa uchawi ndio uridhike na roho yako
Huyu OKW BOBAN SUNZU kazi kuleta mikosi simba kutoka kwa TL ambaye ni kichaa. Achana naye hana maana
 
Hiyo ni mkinga anawakimbiza wachaga nenda Kariakoo utajua historia yake
 
Wapi kasema anataka kujua kama anafanya biashara haramu?..Mbona waTz tumekua na roho za ajabu. Mtu anataka kujifunza zaidi nyie mnaita umbea. Je kama anataka kuandika thesis au kitabu. Ifike mahala tubadilike jamani.
Kujifunza si akamtafute mwenyewe angeulizia ofisi zake zilipo alekezwe akajifunzie huko. Mtu analeta article ya link inayomuelezea Fred Vunja bei ni nani bado anatuuliza sisi tena ni nani.
 
Wana imani potofu watu humu ndani....siku zote ukifaka kufanikiwa ni lazima uwe na nidhamu ktk matumizi ya pesa....kitendo hicho watu wanakitafsiri kama masharti ya sangoma
πŸ”₯
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ”₯
 
πŸ’ͺ🏾
 
Wabena na Wakinga ni moja ya makabira madogo sana hivyo wacha tujifunze zaidi kuhusu nyie.

Hatujui hata salamu zenu zikoje
 
Nilipoona ubini huo ngajiro nikajua ni mkinga, wakinga utajiri wao???!unakuta tajiri but analala chooni au anavaa ndala mdongeo(tofauti mguu huu na ule) na kingine kumbe ana undugu na fadhili ngajiro aliyekuwa anatia nia jimbo la iringa kumbe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…