Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu OKW BOBAN SUNZU kazi kuleta mikosi simba kutoka kwa TL ambaye ni kichaa. Achana naye hana maanaNa wewe ungepambana tungekua tunakuandika saa hizi ila umekalia umbea. Unataka usikie anauza unga au ana utajiri wa uchawi ndio uridhike na roho yako
Hiyo ni mkinga anawakimbiza wachaga nenda Kariakoo utajua historia yake
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.
Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.
Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
hadi mwanamke aliyemuoa nimeishi nae mtaani,kifupi namjua vilivyo,ni hommie huyo,na wengine kibao wanaomzunguka hapo,so usiulize kuhusu matokeo yake,we know each other In and out..we grew together!
acha majungu,tulikuwa tunajaribu kuweka mambo sawa,maana wanamajungu wenzio walitaka kuanza kupotosha habari hapa..Kwaiyo nyie wote mutakuwa ni matajiri kama yeye au? Au ndo mpo mpo tu hamna mbele wala nyuma.
upo na mawazo hasi sana,basi simjui mkuu..nimetunga tu stori,haya legeza moyo sasa ufurahie...stupid kabisa!Once you get money kila mtu atajielezea anavyokufahamu, kweli pesa mwanaharamu
Kujifunza si akamtafute mwenyewe angeulizia ofisi zake zilipo alekezwe akajifunzie huko. Mtu analeta article ya link inayomuelezea Fred Vunja bei ni nani bado anatuuliza sisi tena ni nani.Wapi kasema anataka kujua kama anafanya biashara haramu?..Mbona waTz tumekua na roho za ajabu. Mtu anataka kujifunza zaidi nyie mnaita umbea. Je kama anataka kuandika thesis au kitabu. Ifike mahala tubadilike jamani.
Sasa njia za mtu alizopitoa utazijua huku kwenye world of anonymous. Si akamfate physically huko akaulizieKwani kuna ubaya gani kufahamu njia walizopita watu waliofanikiwa.
Nafikiri inaweza kuwa kama motivation kwa wapambanaji wengine
🔥Wana imani potofu watu humu ndani....siku zote ukifaka kufanikiwa ni lazima uwe na nidhamu ktk matumizi ya pesa....kitendo hicho watu wanakitafsiri kama masharti ya sangoma
🙌🏾🙌🏾Mawazo ya kimasikini yapo mpaka jf aibu hii, nani kakwambia kila mkinga ni tajiri tuulize sisi tunaokaa nao hawa watu,Mazingira yao(makete) sio mazuri sana kwa uwekezaji hiyo iliwafanya watoke waende ugenini na ikawajengea nidhamu ya kufanya kazi,hawa watu wanaushirikiano na ni hard workers sana,endelea kuamini maneno ya walioshindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥Kisaikolojia mtoa mada huenda ni aina ya wale watu wenye hali ngumu ya maisha, pamoja na kupambana hasa lakini bado ugumu wa maisha unawaandama...
Baada ya mbilinge nyingi bila mafanikio wanafikia mahal wanahitimisha kuwa, "hakuna namna mtu anaweza kufanikiwa kihalali"...
Hawaishii hapo, kujustify hilo hitimisho na kujifariji wanaanza kupeleleza watu waliofanikiwa, "kutaka kujua ni kipi cha ziada na kisicho halali kimewafanikisha"...
Njia mojawapo ya kupeleleza, ndio kuanzisha nyuzi kama hizi...
😂👍🏽Kina Bill Gates, Marc Zuckberg wanavaa kikawaida lakini tunaishia kusema "the aim is to be rich, not to look rich" njo bongo sasa et masharti ya waganga
💪🏾Acha upumbavu wewe
Wabena na wakinga ni makabila yenye nidhamu kubwa ya pesa na usiri mkubwa Sana kuhusu pesa zao ni kwa Sababu sio watu wanaopenda kushow off kila kitu kwenye jamii ni watu wanapambana haswa na sio waoga kwa kitu chochote kwao mafanikio ni Jambo la muhimu. Ndiyo maana unaona leo hii kariakoo Wabena na wakinga wamejaa kibao .
Kama unasema ni masharti na nyie mkajaribu muone Kama mtafanikiwa kirahisi .
Popote walipo wananchi wenzangu wa Njombe ni mwendo wa kukazaa tu haina kufeli sikuhiz na vijana wetu wameenda shule mizigo tunanunua wenyewe direct kutoka nje ya nchi
Ukinidhulumu pesa/mali yangu mwisho wa mwaka nafunga hesabu na damu yako ili uzalishe zaidi upande mwingine
Umejuaje?Mkinga,anatokea Iringa!
Eti nini?Nimesoma nae mzumbe dar,lkn pia nimesoma na kaka yake primary school!
Umejuaje maisha ya kwao mtu uliyesoma nae Dsm na yeye katokea Iringa?Kuhusu bness,hiyo ipo kwenye damu,tokea enzi hizo nakumbuka baba yao alikuwa vzr!
Wabena na Wakinga ni moja ya makabira madogo sana hivyo wacha tujifunze zaidi kuhusu nyie.Acha upumbavu wewe
Wabena na wakinga ni makabila yenye nidhamu kubwa ya pesa na usiri mkubwa Sana kuhusu pesa zao ni kwa Sababu sio watu wanaopenda kushow off kila kitu kwenye jamii ni watu wanapambana haswa na sio waoga kwa kitu chochote kwao mafanikio ni Jambo la muhimu. Ndiyo maana unaona leo hii kariakoo Wabena na wakinga wamejaa kibao .
Kama unasema ni masharti na nyie mkajaribu muone Kama mtafanikiwa kirahisi .
Popote walipo wananchi wenzangu wa Njombe ni mwendo wa kukazaa tu haina kufeli sikuhiz na vijana wetu wameenda shule mizigo tunanunua wenyewe direct kutoka nje ya nchi
Ukinidhulumu pesa/mali yangu mwisho wa mwaka nafunga hesabu na damu yako ili uzalishe zaidi upande mwingine
Mshindo ndo town yani Iringa 😂😂😂We umekaa mshindo kwani ?? haina noma kama unamjua mtoto wa mzee mrema na kama unamjua basi umekaa mkimbizi aisee, unasema kina ray na blinger sio ? haina noma mkuu haina noma mkuu