Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na pesa sio kumfanya mtu awe anakula vyakula vya bei. Muda mwingine hivyo vyakula unavyoviona yeye anakula kwa ubahili kumbe ndio vizuri kwa afya yake.Chakula lakini kuna ulaji unaona kabisa Huyu mtu anakula kwa ajili ya ubahili uliopitiliza
Yaani unaishi Tanzania hujawahi kusikia kamwene?Wabena na Wakinga ni moja ya makabira madogo sana hivyo wacha tujifunze zaidi kuhusu nyie.
Hatujui hata salamu zenu zikoje
Hebu tutajie huyo mtu anayelala chooni na kuvaa ndala mdongeoNilipoona ubini huo ngajiro nikajua ni mkinga, wakinga utajiri wao???!unakuta tajiri but analala chooni au anavaa ndala mdongeo(tofauti mguu huu na ule) na kingine kumbe ana undugu na fadhili ngajiro aliyekuwa anatia nia jimbo la iringa kumbe??
Aisee bwashee hao Watu We waache hivyohivyo tu, Wanyakyusa Mbeya washawasema vijembe zaidi ya hivyo ila huwa wanajibu kwa kishindo cha mafanikio na kuweka focus kwenye Mambo yanayowahusu wao tu.Nilipoona ubini huo ngajiro nikajua ni mkinga, wakinga utajiri wao???!unakuta tajiri but analala chooni au anavaa ndala mdongeo(tofauti mguu huu na ule) na kingine kumbe ana undugu na fadhili ngajiro aliyekuwa anatia nia jimbo la iringa kumbe??
Kinondoni Studio
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakul
a Kande
Kamwene si wahehe.Yaani unaishi Tanzania hujawahi kusikia kamwene?
Sijui kuhusu huo uchafu mwingine ulioandika ila wabena husalimiana kamweneKamwene si wahehe.
Hao wabena na wakinga husalimia vipi?
Kuna makabira ni iconic kwa sababu ni makubwa, mfano ukitaja Waha, Wasukuma, Wanyakyusa, Wachaga, Wamakonde, Wazaramo, Wanyaturu, Warangi, Wagogo, Wanyamwezi, Wahaya, Wakurya n.k haya hata hupati shida kujua salamu zao au yanakotokea.
Nakupa task nenda mkoa wowote ambao si wa nyanda za juu kusini mkute mtu yeyote ambaye hajawahi kufika hayo maeneo muulize unawajua wabena au Wakinga na unajua huwa wanasalimiaje akikupa jibu find me.
Fanya hivyohivyo kwa Mtu wa nyanda za juu kusini kuhusu Mkurya anapatikana wapi na asalimiaje uone maajabu [emoji23][emoji23] wabena ni kakikundi cha wacheza bao
Kande siwezi acha eti kisa na hela ..Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Akili kubwaKuwa na pesa sio kumfanya mtu awe anakula vyakula vya bei. Muda mwingine hivyo vyakula unavyoviona yeye anakula kwa ubahili kumbe ndio vizuri kwa afya yake.
"Usishangae mtu kama Bakhressa anakula muhogo wa kuchemsha na samaki wa kuchemsha"