Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Chakula lakini kuna ulaji unaona kabisa Huyu mtu anakula kwa ajili ya ubahili uliopitiliza
Kuwa na pesa sio kumfanya mtu awe anakula vyakula vya bei. Muda mwingine hivyo vyakula unavyoviona yeye anakula kwa ubahili kumbe ndio vizuri kwa afya yake.
"Usishangae mtu kama Bakhressa anakula muhogo wa kuchemsha na samaki wa kuchemsha"
 
Nilipoona ubini huo ngajiro nikajua ni mkinga, wakinga utajiri wao???!unakuta tajiri but analala chooni au anavaa ndala mdongeo(tofauti mguu huu na ule) na kingine kumbe ana undugu na fadhili ngajiro aliyekuwa anatia nia jimbo la iringa kumbe??
Hebu tutajie huyo mtu anayelala chooni na kuvaa ndala mdongeo
 
Nilipoona ubini huo ngajiro nikajua ni mkinga, wakinga utajiri wao???!unakuta tajiri but analala chooni au anavaa ndala mdongeo(tofauti mguu huu na ule) na kingine kumbe ana undugu na fadhili ngajiro aliyekuwa anatia nia jimbo la iringa kumbe??
Aisee bwashee hao Watu We waache hivyohivyo tu, Wanyakyusa Mbeya washawasema vijembe zaidi ya hivyo ila huwa wanajibu kwa kishindo cha mafanikio na kuweka focus kwenye Mambo yanayowahusu wao tu.
Kwamaana hiyo kauli kama uloiandika haiwazuii wao kufanya Mambo yao na mbaya zaidi now days wamesomesha watoto wao kwa kiasi kikubwa.
 
Yaani unaishi Tanzania hujawahi kusikia kamwene?
Kamwene si wahehe.
Hao wabena na wakinga husalimia vipi?

Kuna makabira ni iconic kwa sababu ni makubwa, mfano ukitaja Waha, Wasukuma, Wanyakyusa, Wachaga, Wamakonde, Wazaramo, Wanyaturu, Warangi, Wagogo, Wanyamwezi, Wahaya, Wakurya n.k haya hata hupati shida kujua salamu zao au yanakotokea.

Nakupa task nenda mkoa wowote ambao si wa nyanda za juu kusini mkute mtu yeyote ambaye hajawahi kufika hayo maeneo muulize unawajua wabena au Wakinga na unajua huwa wanasalimiaje akikupa jibu find me.

Fanya hivyohivyo kwa Mtu wa nyanda za juu kusini kuhusu Mkurya anapatikana wapi na asalimiaje uone maajabu 😂😂 wabena ni kakikundi cha wacheza bao
 
Kamwene si wahehe.
Hao wabena na wakinga husalimia vipi?

Kuna makabira ni iconic kwa sababu ni makubwa, mfano ukitaja Waha, Wasukuma, Wanyakyusa, Wachaga, Wamakonde, Wazaramo, Wanyaturu, Warangi, Wagogo, Wanyamwezi, Wahaya, Wakurya n.k haya hata hupati shida kujua salamu zao au yanakotokea.

Nakupa task nenda mkoa wowote ambao si wa nyanda za juu kusini mkute mtu yeyote ambaye hajawahi kufika hayo maeneo muulize unawajua wabena au Wakinga na unajua huwa wanasalimiaje akikupa jibu find me.

Fanya hivyohivyo kwa Mtu wa nyanda za juu kusini kuhusu Mkurya anapatikana wapi na asalimiaje uone maajabu [emoji23][emoji23] wabena ni kakikundi cha wacheza bao
Sijui kuhusu huo uchafu mwingine ulioandika ila wabena husalimiana kamwene
 
Niliona interview yake moja huko YouTube inaonesha yuko smart
 
Kuwa na pesa sio kumfanya mtu awe anakula vyakula vya bei. Muda mwingine hivyo vyakula unavyoviona yeye anakula kwa ubahili kumbe ndio vizuri kwa afya yake.
"Usishangae mtu kama Bakhressa anakula muhogo wa kuchemsha na samaki wa kuchemsha"
Akili kubwa
 
Kufikiri kuwa walofanikiwa wote ni ndumba nidhahiri uwezo wa kufikiri na kupambana ni mdogo ... So unapoona haiwezikani kulingana na uwezo unaona ni ndumba
 
Back
Top Bottom