Kamwene si wahehe.
Hao wabena na wakinga husalimia vipi?
Kuna makabira ni iconic kwa sababu ni makubwa, mfano ukitaja Waha, Wasukuma, Wanyakyusa, Wachaga, Wamakonde, Wazaramo, Wanyaturu, Warangi, Wagogo, Wanyamwezi, Wahaya, Wakurya n.k haya hata hupati shida kujua salamu zao au yanakotokea.
Nakupa task nenda mkoa wowote ambao si wa nyanda za juu kusini mkute mtu yeyote ambaye hajawahi kufika hayo maeneo muulize unawajua wabena au Wakinga na unajua huwa wanasalimiaje akikupa jibu find me.
Fanya hivyohivyo kwa Mtu wa nyanda za juu kusini kuhusu Mkurya anapatikana wapi na asalimiaje uone maajabu 😂😂 wabena ni kakikundi cha wacheza bao