Ahhh mkuu unajua kusoma vizuri? Umeenda enda shule kidogo?nilichoandika na ulichojibu haviusiani
shukle imeingiaje hapa ? Kwani maarifa yana toka shule tu ? au hujui upo ujinga unaotoka shule pia ? Ninakushangaa yeye kuhoji utajiri wake ukihusianisha na nyumba aliyopanga mi spendikuongelea mtu ambaye hata sio ndugu wala rafiki yangu ila anamanyumba katikati ya jiji ni msiri tu .Afu ukihukumu nyumba anayoishi mkinga au mpemba utachelewa sana kaka mi nawajua hao sana wakinga wa kariakoo watakusumbua akili.Au hujui muda mwingi anaishi china
Ajenge kwake Basi atoke pale awaachie wafanyakazi wa BOT wenye Kua sio mabilionea zimechoka haziendani na ubilionea wake