Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Hiv Fred vunjabei alishindwa kweli kumshauri billionaire Shilla kwenye ile nembo ya duka lake la nguo pale sinza maana yake imefanana almost wholly ki-design na nembo ya born to shine ya B-dozen.
Na yeye B-dozen yupo kimya tu kama haoni vile.
Bila shaka utakuwa unaandika haya huku ukiwa umevaa bikini na dela
 
Nina shaka na jinsia yako manake mambo ya kukurupuka kwenye post za watu ni ya level za kidem tena malaya wauza uchi, utakuja kuumbuka siku nyingine matako wewe!
 
Ajenge kwake Basi atoke pale awaachie wafanyakazi wa BOT wenye Kua sio mabilionea zimechoka haziendani na ubilionea wake
Ni dhambi kubwa kumsema mtu usiemjua maana unashindana na mungu wake ,Huyu kijana ni mpambanaji pesa yake yahalali kabisa namjua toka dalali wa magari akawa anatuuzia simu na deki pia ni msomi alikuwa anasaidia matajiri kuandika maombi ya mikopo naukiongea naye ni mshawiishi sana mwenye upendo sijamzoea sana ila hanaga makuu kabisaa ,tafuteni hela lasivyio kila anaefanikiwa utahisi kachukua hela zako benki .Mambo ya hivyo yanazuia mungu kujibu barakazako anakuwa busy kujibu uongo na wivu wako
 
Wabongo hata ukipanga kwenye yatch ambayo si chini ya $100 per night bado watasema "Tajiri gani kapanga kwenye yatch ya mwaka 2005" wakati gharama ya kukodi chombo mwezi mmoja tu ni hela yake ya bando la miaka 10 ya kuandika upuuzi jf humu...

I know the guy in person hakai mbez anakaa mikocheni, jamaa wanataarifa mbuzi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wabongo hata ukipanga kwenye yatch ambayo si chini ya $100 per night bado watasema "Tajiri gani kapanga kwenye yatch ya mwaka 2005" wakati gharama ya kukodi chombo mwezi mmoja tu ni hela yake ya bando la miaka 10 ya kuandika upuuzi jf humu...

Playa, when i read this thread ndio naamini wabongo sio watu wa utani utani yan na ni waongo sana , vitu kibao wanamzushia mwana daaah
 
Ni dhambi kubwa kumsema mtu usiemjua maana unashindana na mungu wake ,Huyu kijana ni mpambanaji pesa yake yahalali kabisa namjua toka dalali wa magari akawa anatuuzia simu na deki pia ni msomi alikuwa anasaidia matajiri kuandika maombi ya mikopo naukiongea naye ni mshawiishi sana mwenye upendo sijamzoea sana ila hanaga makuu kabisaa ,tafuteni hela lasivyio kila anaefanikiwa utahisi kachukua hela zako benki .Mambo ya hivyo yanazuia mungu kujibu barakazako anakuwa busy kujibu uongo na wivu wako

Ahhh mkuu unajua kusoma vizuri? Umeenda enda shule kidogo?nilichoandika na ulichojibu haviusiani
 
shukle imeingiaje hapa ? Kwani maarifa yana toka shule tu ? au hujui upo ujinga unaotoka shule pia ? Ninakushangaa yeye kuhoji utajiri wake ukihusianisha na nyumba aliyopanga mi spendikuongelea mtu ambaye hata sio ndugu wala rafiki yangu ila anamanyumba katikati ya jiji ni msiri tu .Afu ukihukumu nyumba anayoishi mkinga au mpemba utachelewa sana kaka mi nawajua hao sana wakinga wa kariakoo watakusumbua akili.Au hujui muda mwingi anaishi china
Ajenge kwake Basi atoke pale awaachie wafanyakazi wa BOT wenye Kua sio mabilionea zimechoka haziendani na ubilionea wake
 
Ahhh mkuu unajua kusoma vizuri? Umeenda enda shule kidogo?nilichoandika na ulichojibu haviusiani

hakai flat za bot anakaa mikochen, hata kama umepatia kuandika umeandika wrong information mkuu, jaman kuwen wastaarabu basi daah
 
Back
Top Bottom