TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Ingawa ni ndoto ya kila mtu kufanikiwa maishani, wengine wana bahati zaidi linapokuja suala la kufikia malengo yao ya maisha
Fred Ngajiro ni mmoja wa wale waliokuwa na bahati ya kufanikiwa katika umri mdogo sana. Akiwa na miaka 33, mjasiriamali huyo ambaye ni maarufu kama Fred Vunjabei tayari ni bilionea, aliyeajiri vijana takribani 150 katika maduka yake tisa yaliyopo mikoa mbalimbali nchini.
Fred Fabian Ngajiro amekuwa akiteuliwa katika tuzo mbalimbali za kibiashara na ujasiriamali na baadhi ya tuzo alizochaguliwa kushiriki ni Tanzania Digital Awards (TDA ) ambayo alishiriki kama Mjasiriamali Bora wa Kiume Kwenye Dijiti (Best Male Entrepreneur on the Digital) mwaka 2019.
Pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards ( TCCA) na alishiriki kama ``Most Preferred Upcoming Male Business Icon Of The Year 2020
Kumekua na tetesi nyingi kua biashara zake zinategemea Sana uchawi mpka akapewa jina la Mkinga Mchawii
bila shaka hi ni Vita ya wachagaa na wivu wao wakimaendeleoo OVER:
Moja kati ya Duka lakee Nyomi ya watu nnje wakisubili kuingia Dukanii