Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Ingawa ni ndoto ya kila mtu kufanikiwa maishani, wengine wana bahati zaidi linapokuja suala la kufikia malengo yao ya maisha

Fred Ngajiro ni mmoja wa wale waliokuwa na bahati ya kufanikiwa katika umri mdogo sana. Akiwa na miaka 33, mjasiriamali huyo ambaye ni maarufu kama Fred Vunjabei tayari ni bilionea, aliyeajiri vijana takribani 150 katika maduka yake tisa yaliyopo mikoa mbalimbali nchini.

vunja-bei-pic-data.jpg

Fred Fabian Ngajiro amekuwa akiteuliwa katika tuzo mbalimbali za kibiashara na ujasiriamali na baadhi ya tuzo alizochaguliwa kushiriki ni Tanzania Digital Awards (TDA ) ambayo alishiriki kama Mjasiriamali Bora wa Kiume Kwenye Dijiti (Best Male Entrepreneur on the Digital) mwaka 2019.

Pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards ( TCCA) na alishiriki kama ``Most Preferred Upcoming Male Business Icon Of The Year 2020

sammisago-vunja-bei-store-1788464890039851113.jpg

Kumekua na tetesi nyingi kua biashara zake zinategemea Sana uchawi mpka akapewa jina la Mkinga Mchawii

bila shaka hi ni Vita ya wachagaa na wivu wao wakimaendeleoo OVER:

hqdefault.jpg

Moja kati ya Duka lakee Nyomi ya watu nnje wakisubili kuingia Dukanii
 
Umri wake Yuko sawa na yesu
Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.

Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
 
Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
Sisi kwa sisi gest house. Au sio?
 
Ingawa ni ndoto ya kila mtu kufanikiwa maishani, wengine wana bahati zaidi linapokuja suala la kufikia malengo yao ya maisha

Fred Ngajiro ni mmoja wa wale waliokuwa na bahati ya kufanikiwa katika umri mdogo sana. Akiwa na miaka 33, mjasiriamali huyo ambaye ni maarufu kama Fred Vunjabei tayari ni bilionea, aliyeajiri vijana takribani 150 katika maduka yake tisa yaliyopo mikoa mbalimbali nchini.

View attachment 1722666

Fred Fabian Ngajiro amekuwa akiteuliwa katika tuzo mbalimbali za kibiashara na ujasiriamali na baadhi ya tuzo alizochaguliwa kushiriki ni Tanzania Digital Awards (TDA ) ambayo alishiriki kama Mjasiriamali Bora wa Kiume Kwenye Dijiti (Best Male Entrepreneur on the Digital) mwaka 2019.

Pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards ( TCCA) na alishiriki kama ``Most Preferred Upcoming Male Business Icon Of The Year 2020

View attachment 1722667

Kumekua na tetesi nyingi kua biashara zake zinategemea Sana uchawi mpka akapewa jina la Mkinga Mchawii

bila shaka hi ni Vita ya wachagaa na wivu wao wakimaendeleoo OVER:

View attachment 1722668

Moja kati ya Duka lakee Nyomi ya watu nnje wakisubili kuingia Dukanii
Hii hatari
 
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Wewe unataka aache kula kande wakati ndiyo chakula chake cha asili? Yule mmasai billionea Laiser umemuona ameacha kuvaa Lubega?
 
Ingawa ni ndoto ya kila mtu kufanikiwa maishani, wengine wana bahati zaidi linapokuja suala la kufikia malengo yao ya maisha

Fred Ngajiro ni mmoja wa wale waliokuwa na bahati ya kufanikiwa katika umri mdogo sana. Akiwa na miaka 33, mjasiriamali huyo ambaye ni maarufu kama Fred Vunjabei tayari ni bilionea, aliyeajiri vijana takribani 150 katika maduka yake tisa yaliyopo mikoa mbalimbali nchini.

View attachment 1722666

Fred Fabian Ngajiro amekuwa akiteuliwa katika tuzo mbalimbali za kibiashara na ujasiriamali na baadhi ya tuzo alizochaguliwa kushiriki ni Tanzania Digital Awards (TDA ) ambayo alishiriki kama Mjasiriamali Bora wa Kiume Kwenye Dijiti (Best Male Entrepreneur on the Digital) mwaka 2019.

Pia aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards ( TCCA) na alishiriki kama ``Most Preferred Upcoming Male Business Icon Of The Year 2020

View attachment 1722667

Kumekua na tetesi nyingi kua biashara zake zinategemea Sana uchawi mpka akapewa jina la Mkinga Mchawii

bila shaka hi ni Vita ya wachagaa na wivu wao wakimaendeleoo OVER:

View attachment 1722668

Moja kati ya Duka lakee Nyomi ya watu nnje wakisubili kuingia Dukanii

Ukishambulia Wachagga si sawa Mimi mchagga mdogo wangu kaoa Mkinga wote tunapendana wivu wetu si zaidi ya wivu mzuri wa kimaendeleo
 
Humu kumejaa watoto wapumbavu tu, useless.

Huwezi kumkuta mtu mwenye akili zake timamu anakomalia huu upuuzi wa kikabila.

Vunjabei ni mkinga ila marafiki zake wakubwa ni wachagga kina Frank Knows, Whozu etc ndio wanaofanya nao biashara.

Kwahiyo hivi vichuki vya kikabila huwa ni vya masikini, hohehae useless tu wasiojua hata kesho kutapambazuka viipi.
 
Kula vizuri bwana , kama Milioni unaishika kila siku inatakiwa unakula samaki wabichi, Kuku n.k yaani vyakula vizuri vizuri mdomoni na kiafya

Sio mtu unashika mamilioni halafu unavaa mitumba , unakula chakula ambacho masikini anakula ila hicho chakula mwenzio masikini anakula sababu uwezo wake wa kipesa umeishia kumudu hicho chakula kibovu anachokula
Wewe ni Mchagga? Unawafahamu Warombo vizuri?
 
Back
Top Bottom