Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Na yeye atawapiga vilevile tena atawapiga vizuri sana maana si ana biashara ya nguo so yale madela, kofia, leso, tshirt, chupi, sidiria, tight, pedi za ccm za wakati wa uchaguzi na nyakati nyingine tayari zishapata mdhabuni/supplier
Kila mtu atakula alikopeleka mboga
 
Alipoanza kuongelea mambo ya Wanawake tulijua tu anatafuta kitu. Ila UVCCM ni sehemu nzuri ya kuikwepa kodi na kuficha uovu wake
IMG-20210524-WA0001.jpg

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Kufanikiwa Ni ndoto za kila mtu,katika hatua za utafutaji wa maisha kwanza jitambue,watu watakutambua,

Jitume,watu watakutuma pia,Kuna sehemu unaweza kutamani kufika na usifike, lakini kwa kujituma kwako watu watakufikisha.

Hongera kwake Fredy,piga kaaaaaazi!!!!!!!!!!
 
Leo natetea mtu ata hanijui ila ndugu kipi ambacho fred hana hapa? Au kuna maana nyengine

Kikubwa naona ni wivu tu. Na pengine ww bado umejishikiza na kibarua chako afraid to even step out. Smart is a measurement of performance and achievements in nowadays world and not kutusua darasani. Learn to appreciate others achievements na uache choyo

View attachment 1796851

Neno Choyo na wivu hayana uhusiano na majadiliano haya. Baki kwenye mada.

Nadhani umeona maana ya smart ?Mafanikio sio kipimo cha smart. Wala hakuna dictionary itakayoeleza hiyo maana yako. Kuna watu wamefanikiwa kwa kuua watu, wizi, ujambazi, kutakatisha fedha , rushwa, kuuza madawa , n.k .... je mstari wa mafanikio kama kipimo cha u smart unauchora wapi?
 
Unaambiwa M/kiti Wa Uvccm alikuja na Jina Mfukoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mh,lisemwalo lipo ila mimi nijuavyo yuko na mobeto adi pete ya uchumba kamvalisha
Sio Kwamba Walimwagana na mobeto baada ya Bidada Kuwa anataka Fedha Nyingi kutoka kwa Fredy. Hela ya Mkinga Uwaga Haitoki Kirahisi Aiseeeh Hakuna Watu Wabahili Kama Wakinga [emoji1787][emoji1787]
 
Aidha Baraza hilo limeunda kamati ndogo ya uwezeshaji, uchumi na fedha na kuwathibitisha Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuwa mwenyekiti wa kamati, Rose Manumba kuwa katibu wa kamati.

Wajumbe ni Gwanta Alex, Taufiq Turky, Khamis Tale Tale maarufu Babu Tale na Khadija Ali.

Hivi Kumbe Babu Tale ni UVCCM [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiona sehemu Babu Tale tu yupo jua hapo kuna Usamjo Usamjo ( Ujanja Ujanja ) wa ' Kimjini ' mwingi sana tu
 
Aidha Baraza hilo limeunda kamati ndogo ya uwezeshaji, uchumi na fedha na kuwathibitisha Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuwa mwenyekiti wa kamati, Rose Manumba kuwa katibu wa kamati.

Wajumbe ni Gwanta Alex, Taufiq Turky, Khamis Tale Tale maarufu Babu Tale na Khadija Ali.

Hivi Kumbe Babu Tale ni UVCCM [emoji3][emoji3][emoji3]
Bongo mwisho wa ujana ni miaka 50

Ova
 
Fred ni msomi sio mbaya akiwa mbumge akamtoe yule std 7 kule kwao Njombe.
Ana hela,ana maono kuliko kuwa na wabunge wanaofanya ubunge. kama kazi
Wasooooomi....
Tuna mapungufu mengi sana kuhusu usomi na kumiliki vyeti
Na vyeti vyetu vimetumika pia kubaguana sisi kwa sisi

Nafasi ya kujinyanyua kisomi ina ukakasi kupita maelezo
 
aishi nao vizuri tu na kwa akili nyingi....wanasiasa wakishamaliza kumtumia watahakikisha amekua maskini....cha muhimu aendelee kulipa kodi na kuweka mahesabu sawa ili siku wakimgeuka awe vizuri kwenye issue za kodi (its a gently reminder)
 
H
Sio Kwamba Walimwagana na mobeto baada ya Bidada Kuwa anataka Fedha Nyingi kutoka kwa Fredy. Hela ya Mkinga Uwaga Haitoki Kirahisi Aiseeeh Hakuna Watu Wabahili Kama Wakinga [emoji1787][emoji1787]
Kama wamemwagana labda sababu iwe ingine,ila fred nilisikia kamfungulia hamisa duka la nguo lingine
Kwahiyo kama ela alishaitoa ya kutosha
 
Bora CCM irudi kwa wafanyabiashara kuliko kwa akina Bashiru na Polepole

Utakuwa unanufaika na uwepo wa wafanyabiashara kwenye nafasi za uongozi!!! Utakuwa na mawazo ya kuwa tegemezi; hupendi kujitegemea na kuwa huru!!
 
Back
Top Bottom