Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

Dude una matatizo? Em jifananishe wewe na yeye nani ana mafanikio? FYI kuwa na akili nyingi sio kupata ma-A na maGPA makubwa! Ila kaangalie video za Jack Ma pengine utanielewa!! Ila nipe definition yako pengine ina mantiki, mana mm sina definition naangalia mtu matendo yake then najudge mana I have been around geniuses but there were dumb as JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala!!( anatusua shule lkn hana mafanikio yoyote kikubwa anasubiri ajira)

Sawa Mkuu . Ndiyo maana nimeomba tafsiri yako ya neno smart ni ipi, ili tuongee kauli moja. Kwa maelekezo yako hapo juu kwako smart ni mtu mwenye mafanikio bila ya kujali amefikaje kwenye hayo mafanikio. Sasa chief naomba uingie google au kwenye dictionaries utuwekee maana ya neno smart tafsiri yake.
Poa
 
Wafanyabiashara wanarudi kwa kwa kasi kwelikweli ktk chama chetu cha wakulima na wafanyakazi.
 
Huyu jamaa,alikuja kwenye game la biashara ya nguo baada ya Husein pamba kali,na lobby one fashion,lakini ameweza kukuza biashara yake ya nguo zaidi ya hawa miamba wawili,hii kitu imenifundisha jambo,unaweza kuwa unafanya biashara fulani akaja mtu mwingine anafanya kama hiyo ila kwa kuongeza technic fulani akakupita kama umesimama.
huyu ni mkinga mkuu anatumia sana ushirikina hilo linajulikana karibia na kila mtu
 
Get your coins right, anza na Truman aliingia maskini na he was fairly poor. Johnson, Lincoln na hata Garfield.
You need to get my point. Once you have strong institutions rich candidates/ leaders hawana chance ya ku sabotage nchi
 
Sawa Mkuu . Ndiyo maana nimeomba tafsiri yako ya neno smart ni ipi, ili tuongee kauli moja. Kwa maelekezo yako hapo juu kwako smart ni mtu mwenye mafanikio bila ya kujali amefikaje kwenye hayo mafanikio. Sasa chief naomba uingie google au kwenye dictionaries utuwekee maana ya neno smart tafsiri yake.
Poa
Kwahiyo sio smart kwasababu kawekeza kwenye mavazi...kwako no matter what as long as ni mavazi si Smart...HELL IS IT.
 
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumehomolwa Sana Ndugu Zangu
 
Ndio maana nimesema shida yetu hatuna strong institutions na strong policies. Botswana ni moja ya nchi ya Africa ambayo institutions zake ziko strong. Mapungufu haya huwezi sasa

Ndio maana nimesema shida yetu hatuna strong institutions na strong policies. Botswana ni moja ya nchi ya Africa ambayo institutions zake ziko strong. Mapungufu haya huwezi kuyaona
strong institutions haziletwi na malaika na ni wanufaika wachache wa mfumo uliopo wanapenda kuona strong institutions zikizaliwa badala yake kila anaejaribu kuleta strong institutions amekua akikumbana na vikwazo kutoka nje na ndani ya nchi kutokana na masilahi ya watu wachache wenye ushawishi kuguswa
 
Nilikuwa na imani kubwa kuwa Serikali ya awamu 5 ingeweza kujenga strong institutions lkn nilikuwa deeply disappointed kuona ili choose ku implement a one-man show approach.
 
Nilikuwa na imani kubwa kuwa Serikali ya awamu 5 ingeweza kujenga strong institutions lkn nilikuwa deeply disappointed kuona ili choose ku implement a one-man show approach.
kutokana na tulikokua tumefikia kama taifa ilihitaji one man show kwanza katika kuelekea huko kwenye strong institutions,mwafrica bila force haendi kumbuka hata kipindi cha kuingiza mfumo wa vyama vingi bila Mw.Nyerere kutumia force waliokua wengi walikua washapinga.
 
Vunjabei amejiingiza kwenye biashara ya utumbo... nzi zitamfata ile mbaya

Anapoharibu ndio hapo,ukichanganya biashara na siasa mwisho wako ni mbaya unless waliokuteuwa hawatagombana au kutoka madarakani.

Escobar aliuza madawa vizurii huko Colombia alivyoingia kwenye siasa wakafukua makaburo yotee,wakamgeuka na kumuua.
What happened to ROSTAM?

Mama awe makini na wafanyabiashara kujiingiza kwenye chama... si vizuri katika kipindi chake yatokee ya ESCROW, Richmond, Kagoda nk ujinga mwingi sana huwa unajitokeza pale watu wanapotumia fursa hizi kujipatia mitenda na kuiba serikalini.

=====

Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei, jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchumi, Uwezeshaji na Fedha kupitia kikao cha Baraza Kuu ambacho kimemalizika jana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Screen-Shot-2021-05-24-at-16.17.26.png

Kamati ya utekelezaji chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Kheri James ilikuja na pendekezo la jina la mwenyekiti huyo wa kamati ambapo baadae alithibitishwa na wajumbe kwa kura nyingi za ndio huku katibu wake akifahamika kwa jina la Rose Manumba, Baraza lilichagua wajumbe wengine wanne wa kamati kutoka bara na visiwani
 
Anapoharibu ndio hapo,ukichanganya biashara na siasa mwisho wako ni mbaya unless waliokuteuwa hawatagombana au kutoka madarakani.

Escobar aliuza madawa vizurii huko Colombia alivyoingia kwenye siasa wakafukua makaburo yotee,wakamgeuka na kumuua.
What happened to ROSTAM?

Mama awe makini na wafanyabiashara kujiingiza kwenye chama... si vizuri katika kipindi chake yatokee ya ESCROW, Richmond, Kagoda nk ujinga mwingi sana huwa unajitokeza pale watu wanapotumia fursa hizi kujipatia mitenda na kuiba serikalini.

Wamemtega patamu ili wammalize pia.
 
Back
Top Bottom