Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
AmekwishaWamemtega patamu ili wammalize pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmekwishaWamemtega patamu ili wammalize pia.
Ninavyoijua UVCCM namuhurumia mno.Amekwisha
Unatumia dola, kupata dola - Dr. Mwl KMK (Mstaafu) BAK (PhD)Kwani ndugu ni lini CCM itatoka madarakani??
Anapoharibu ndio hapo,ukichanganya biashara na siasa mwisho wako ni mbaya unless waliokuteuwa hawatagombana au kutoka madarakani.
Escobar aliuza madawa vizurii huko Colombia alivyoingia kwenye siasa wakafukua makaburo yotee,wakamgeuka na kumuua.
What happened to ROSTAM?
Mama awe makini na wafanyabiashara kujiingiza kwenye chama... si vizuri katika kipindi chake yatokee ya ESCROW, Richmond, Kagoda nk ujinga mwingi sana huwa unajitokeza pale watu wanapotumia fursa hizi kujipatia mitenda na kuiba serikalini.
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho!!!! Hata Nchi ya Romania chini ya kiongozi wake Shaiseskou ( sina hakika na spelling) hakuamini kama atatoka madarakaniKwani ndugu ni lini CCM itatoka madarakani??
Hata jiwe angeambiwa ipo siku hatakua hai asingeamini !!! Mlimuita Mungu leo yupo wapi!!!??? Achana na wakati nduguKwani ndugu ni lini CCM itatoka madarakani??
Mambo ya kipuuzi sana tu, huyu wamwache auzeHivi vitu viwili haviendani kabisa
Acha wivu na roho ya korosho.Huyo jamaa tatizo lake ana kaushamba flani hivi...mambo sio fresh kihivyoo yaani ndio ana take off ila yeye kaona kashafika!
Ni bilionea muuza nguo ww je?Kwenye Smart ndio umeniacha, kuuza nguo katika fursa zote izi Tanzania ndio kuwa smart? You must be kidding me brother.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Leo natetea mtu ata hanijui ila ndugu kipi ambacho fred hana hapa? Au kuna maana nyengineSawa Mkuu . Ndiyo maana nimeomba tafsiri yako ya neno smart ni ipi, ili tuongee kauli moja. Kwa maelekezo yako hapo juu kwako smart ni mtu mwenye mafanikio bila ya kujali amefikaje kwenye hayo mafanikio. Sasa chief naomba uingie google au kwenye dictionaries utuwekee maana ya neno smart tafsiri yake.
Poa
Hao wote unajua wanakwepa kodi kwa asilimia ngapi?Rostam, Mo Dewji, Shabiby, Spika, Msukuma, Kigwa the list goes on and on wote hao walikua au bado ni wanasiasa and yet wafanyabiashara wakubwa tu.
Mtu anaweza kuwa mwanasiasa na mfanyabiashara at the same time. Binadamu wana uwezo wa kufanya tasks tofauti kwa wakati mmoja. Acha fikra za kijima za kuamini mwanasiasa bora ni yule maskini au kama walokole wanaoamini mbinguni wataenda maskini tu.
That being said, I know nothing about Vunjabei simtetei wala kumpinga nimewasilisha mtazamo wangu tu.
Bora hao ...kuliko wale wanaopewa nafasi ya vyeo lakini wakiwa huko wanafanya uporajichama kinarudi kwa wafanyabiashara waanze kufadhili kila kitu hadi campain,kisha tutegemee TRA wawafate kuwadai kodi? au wao kwa hiari yao ndo watakua wanajipangia kiasi cha kodi wanachostahili kulipa
Bora CCM irudi kwa wafanyabiashara kuliko kwa akina Bashiru na PolepoleMagufuli aliitoa ccm ya Kikwete toka kuwa tegemezi kwa wafanyabiashara mpaka kuwa inajitegemea kwa kuvirudisha vitega uchumi vya chama kutoka kwa watu Binafsi!! Sasa hivi inaelekea ule ulege lege wa Kikwete wa kuwa omba omba kwa wafanyabiashara unarudia tena na hivyo mambo ya ufisadi yatashamiri upya tena!!!