Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kila mtu atakula alikopeleka mbogaNa yeye atawapiga vilevile tena atawapiga vizuri sana maana si ana biashara ya nguo so yale madela, kofia, leso, tshirt, chupi, sidiria, tight, pedi za ccm za wakati wa uchaguzi na nyakati nyingine tayari zishapata mdhabuni/supplier
Leo natetea mtu ata hanijui ila ndugu kipi ambacho fred hana hapa? Au kuna maana nyengine
Kikubwa naona ni wivu tu. Na pengine ww bado umejishikiza na kibarua chako afraid to even step out. Smart is a measurement of performance and achievements in nowadays world and not kutusua darasani. Learn to appreciate others achievements na uache choyo
View attachment 1796851
Mh,lisemwalo lipo ila mimi nijuavyo yuko na mobeto adi pete ya uchumba kamvalishaMbona nasikia sasa yuko na DC Jokate?
Sio Kwamba Walimwagana na mobeto baada ya Bidada Kuwa anataka Fedha Nyingi kutoka kwa Fredy. Hela ya Mkinga Uwaga Haitoki Kirahisi Aiseeeh Hakuna Watu Wabahili Kama Wakinga [emoji1787][emoji1787]Mh,lisemwalo lipo ila mimi nijuavyo yuko na mobeto adi pete ya uchumba kamvalisha
Basi anamkanyaga Kisarawe ile Kinoma.Mh,lisemwalo lipo ila mimi nijuavyo yuko na mobeto adi pete ya uchumba kamvalisha
Ukiona sehemu Babu Tale tu yupo jua hapo kuna Usamjo Usamjo ( Ujanja Ujanja ) wa ' Kimjini ' mwingi sana tuAidha Baraza hilo limeunda kamati ndogo ya uwezeshaji, uchumi na fedha na kuwathibitisha Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuwa mwenyekiti wa kamati, Rose Manumba kuwa katibu wa kamati.
Wajumbe ni Gwanta Alex, Taufiq Turky, Khamis Tale Tale maarufu Babu Tale na Khadija Ali.
Hivi Kumbe Babu Tale ni UVCCM [emoji3][emoji3][emoji3]
Hicho cheo kina mshahara au malupulupu yoyote? Au ndio vile vile mpaka uchepushe?Imeandikwa.....
Mwenye nacho ataongezewa[emoji848]
Bongo mwisho wa ujana ni miaka 50Aidha Baraza hilo limeunda kamati ndogo ya uwezeshaji, uchumi na fedha na kuwathibitisha Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuwa mwenyekiti wa kamati, Rose Manumba kuwa katibu wa kamati.
Wajumbe ni Gwanta Alex, Taufiq Turky, Khamis Tale Tale maarufu Babu Tale na Khadija Ali.
Hivi Kumbe Babu Tale ni UVCCM [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwao Makete Huyu, anamuashia Taa Yule Mbunge Wa Makete Anaitwa Sjui Seneta Sanga [emoji3][emoji3][emoji3]
Alipoanza kuongelea mambo ya Wanawake tulijua tu anatafuta kitu. Ila UVCCM ni sehemu nzuri ya kuikwepa kodi na kuficha uovu wakeView attachment 1796888
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Wasooooomi....Fred ni msomi sio mbaya akiwa mbumge akamtoe yule std 7 kule kwao Njombe.
Ana hela,ana maono kuliko kuwa na wabunge wanaofanya ubunge. kama kazi
AiseeeBasi anamkanyaga Kisarawe ile Kinoma.
Kama wamemwagana labda sababu iwe ingine,ila fred nilisikia kamfungulia hamisa duka la nguo lingineSio Kwamba Walimwagana na mobeto baada ya Bidada Kuwa anataka Fedha Nyingi kutoka kwa Fredy. Hela ya Mkinga Uwaga Haitoki Kirahisi Aiseeeh Hakuna Watu Wabahili Kama Wakinga [emoji1787][emoji1787]
Malupulupu, chama Cha ccm kina Ela mnoHicho cheo kina mshahara au malupulupu yoyote? Au ndio vile vile mpaka uchepushe?
Bora CCM irudi kwa wafanyabiashara kuliko kwa akina Bashiru na Polepole