Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

Nadhani Wanawake Hawajui Ni Nini Wanataka, Fikria Uwe Tajiri Watakusaliti Uwe Hauna Kipato Pia Utasalitiwa.. Kijana Wawatu Kutoka Ukingani Fredy Ngajiro Aka Fredy Vunjabei Kashalizwana Mobeto Hamisa, anabaki Tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
yeye mwenyewe mwanaume hajui anataka nini
angejua angetulia na baby mama wake
 
Ukiweza kucheza na akili za kibongo raha sana. Ni kama siasa yakutengeneza tatizo then unatatua mwenyewe then wajinga wanashangilia.
 
Hivi akili zako ziko Sawa? Kwa hiyo akioa Mwaka huu ndo what? Watu wapo na ndoa zao na wana wapenz wao pemben unazimungumzia Habar za kuoa, ebu tupishe hapa
Mobeto Karudisha Mpira Kwa Kipa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom