Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

Ubuyu hujakamilika,aliewaingilia kabisa hawa ni nani?hamisa kachepuka na nani?
 
Huyu jamaa mbona kama ni mjinga mjinga. Ana ushamba au ka ulimbukeni flani

'Bilionea' unapost vitu gani ivo....mabilionea wa bongo bana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Vijana wa kibongo kuwa na mafanikio tu huwa haiwatoshi. Wanatafuta kudate na wadada wa mjini ili kutafuta umaarufu. Wanasahau kuwa smart people hawafanyi kazi na watu wenye scandals. Sijui tunafail wapi!
 
Hivi akili zako ziko Sawa? Kwa hiyo akioa Mwaka huu ndo what? Watu wapo na ndoa zao na wana wapenz wao pemben unazimungumzia Habar za kuoa, ebu tupishe hapa
Tabu unajaribu kuwa mmbea ila huuwezi waachie kina Jaymaudaku wewe uliwaona wanadate? Watu wanatafta pesa saivi na kama ni kweli wanajuana bac wanatafta kiki tu jamaa m1 apo juu kasema KUCHEZA NA AKILI ZA WABONGO NI KAZI RAHISI SANAA yaani
 
Huyu nae alidhani kwa pesa zake za nguo bas hamisa atatulia? Akae kwa kuugulia moyoni, wapo wenye maandazi kumzidi yeye na wame mpiku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mji mzito huu mweeeeh, kimeumana lol.
Hapo sasa!
 
Sasa lile duka itakuaje jamani, mafundi ndio walikua wanamalizia kuchomelea grill afu sponsor anapepea.... itakuaje?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nafkir pia walikua wanasubiria ile barabara ya lami ikishapigwa ndo wafungue
 
Back
Top Bottom