Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Mkuu ndio maana nikaandika 'bilionea' hizi alama ' ' zina maana sana ktk lugha na uandishi.Boss una uhakika huyo bilionea?
Huwaga wanajiita 'mabilionea'
Sasa nikasema 'bilionea' unaandika pumba ili upate 'kiki' afu eti wanasema ni 'msomi'
Hawa 'wasomi' ndio maana Msukuma anawadisi sana
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app