Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

ka hamisa noma
kanachukua child support kwa mondi na majizo afu kudanga kwa kina vunjabei na wenzie
 
Mkuu ndio maana nikaandika 'bilionea' hizi alama ' ' zina maana sana ktk lugha na uandishi.

Huwaga wanajiita 'mabilionea'

Sasa nikasema 'bilionea' unaandika pumba ili upate 'kiki' afu eti wanasema ni 'msomi'

Hawa 'wasomi' ndio maana Msukuma anawadisi sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
tatizo we jamaa una wivu tu

IMG_20210420_132924.jpg
 
Robby one fashion na Husein pamba kali,hawa wadau walikuwepo kabla ya huyu vunja bei,kwanini wao hawasikiki sana,wanashindwa wapi?
 
Fredy, nae alichemka mkinga huyu, ila afadhali umeshtuka mapema, zile billion2 zingekwapuliwa
 
Back
Top Bottom