MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Good job ... so keep it rolling then mr(s) mtetezi wa mafisadi ... how d'ya like it now?
I'm the one who should keep it rolling? How do I like it? lol. Naona kidogo BP ina anza kupanda. We can go at each other the whole day. I still woudn't care what you call me.
ohh ...start with this one..
Now we are talking mr(s) mtetezi wa mafisadi
So in short you are saying hauchambui hoja right? .....
I dare you to show JF where I called myself "mchambuzi wa Jf" Hope you can produce the evidence.
MwanaFalsafa1 hatusemi kuwa CCJ ni mkombozi whichever chama Mpendazoe angeamua kwenda au kubaki bila chama kwetu ni deal si lazima aende Chadema au CUF tunachoangalia hapa ni kile kitendo cha Mbunge kukihama chama impact yake ni nini kwa chama na kwa wananchi wake, kama ukituambia hakuna impact yeyote sawa wewe utabakini na imani yako na wanaosema kuna impact watabaki na imani yao, hivi wakijitoa wabunge 20 wa CCM na wakabaki hawana chama bado utasema is not a deal hadi waende Chadema au CUF you have to be serious.So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?
You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
.... Kama wakina nyie ndiyo "Wapinga ufisadi" we have a loooong way to go.
Usikurupuke, kwenye post yangu sijataja CCJ hata sehemu moja. Nimetaja Chama Cha Mafisadi na nimewasuta wanaojaribu kuwabeza wenye nia ya kujitoa kwenye huo uvundo kama Mpendazoe. Hivi kweli leo kwa ujasiri unaweza kusimama na kudai CCM is the right party for Tanzanians ? One has to be sick to do that.So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal?
Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?
Kama kuionea uchungu nchi yangu ndiyo unaiita simple disease, so be it. Adui mkubwa wa taifa kwa hivi sasa ni CCM na wakati wa kusimama uhesabiwe ni sasa kwani wahenga walisema linalowezekana leo lisingojee kesho. Wewe mwenye afya na unaenenepa kwa damu za walalahoi wa nchi hii, kuna siku utatakiwa kujibu kwa nini ulishiba na kusaza wakati wengine wanalala njaa.You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us".
Sawa, msimamo wako nitauheshimu kwa kuwa pro-CCM ila ukumbuke kuwa taifa liko hapa lilipo kwa sababu ya CCM. Hakuna chama chochote zaidi ya CCM ambacho kimewahi kupewa uongozi wa nchi hii na wewe ni moja kati ya hao wafuata upepo asilimia 70% anaowategemea Kikwete !Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
MODS
Naomba kuelimishwa kidogo .
Hivi nikiita mtu pumbavu na mwingine akaita mtu mwingine Fisadi.
Ni kipi kati ya hayo nitakuwa nimevunja sheria za JF. Ama hayo ni ruhusa ndani ya jf?? kosa ni kutaja ID tu? Naombeni ufafanuzi.
MkamaP,
ina maana hujui tofauti ya kuita mtu pumbavu na kumuita fisadi? BTW - just in case unataka kuhusisha kinachoendelea hapo juu kati yangu na mtetezi wa mafisadi .... nimemwita .....well ... mtetezi wa mafisadi
Naomba ma mods wanieleze sheria zao zinasema je? kama wewe nimmoja wao naomba unielimishe sheria zinasema nini?
Mimi ninavyoelewa fisadi ni tusi kubwa kuliko pumbafu kama limetumika kwa mtu asiye sahihi.
pumbafufu si tusi kama mhusika ni mpumbafu, pumbafu ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.
fisadi sio tusi kama limetumika kama mhusika ni fisadi ,ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.
Kinyume chake sasa.
fisadi >>>>>>>>>>>> pumbafu.
Mwache aende zake - ameshakuwa "liability" na angebakia CCM "tungempiga chini" katika kura za MAONI!
OFF Topic: TuskerBariiiidi? Siku hizi sikuoni mitaa yetu ya Meeda na B-Bar! Au kwa sababu Tusker imekuwa adimu?
Mimi sio mods ... watumie PM labda watakujibu.
Kumbuka pia kuwa fisadi linaendana na kitendo alichofanya mtu ... kwa hiyo mtu akifanya ufisadi .. je kuna kosa kumuita fisadi?
ha ha hah pumbafufu ndio nini sasa .. au ni kiporrrrrandi?
Naona kama ulitaka kusema kuwa .. mtetezi wa mafisadi >>>>> mafisadi
pia unajuwa pumbafu linaenda sambamba na matendo ya mtu anayofanya.