Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Good job ... so keep it rolling then mr(s) mtetezi wa mafisadi ... how d'ya like it now?

I'm the one who should keep it rolling? How do I like it? lol. Naona kidogo BP ina anza kupanda. We can go at each other the whole day. I still woudn't care what you call me.
 
I'm the one who should keep it rolling? How do I like it? lol. Naona kidogo BP ina anza kupanda. We can go at each other the whole day. I still woudn't care what you call me.

Now we are talking mr(s) mtetezi wa mafisadi
 
Sisi tunapiga blaha blaha.
siasa za kweli zitafanywa na kizazi cha kuanzia miaka ya 1990s kwani humu ndani wote tumeshaonesha ushabiki mkubwa wa siasa za CCM hata iwe wapinzani au la. sisi wanaangalia nini ccm imefanya na inatakiwa kufanya hatuangalii tutaifanyia nini hadhira ya Tanzania.

Tuwe wa kweli maana hii hama hama mie bado sijashawishika. naona wanalazimisha kutembea ktk maneno ya baba wa taifa. huwezi ukasema kuwa tunatarajia kutoa upinzani wa kweli kwa kuwa ninahama ccm na kuanzisha chama kipya. Ni lazima mgawanyiko mkubwa utokee kwanza na sio huu wa kupikwa pikwa.

Watanzania jadilini issues na si presumptions
 
ohh ...start with this one..

So in short you are saying hauchambui hoja right? So which means wewe upo zaidi kwenye ushabiki? By trying to prove me wrong you are continuing to prove yourself pointless lol.
 
Now we are talking mr(s) mtetezi wa mafisadi

Your mind amazes me. I said I didn't give a damn a few posts ago & now is when you say "Now we are talking"? So when I said the same thing the first time your mind was blank lol. Kama wakina nyie ndiyo "Wapinga ufisadi" we have a loooong way to go.
 
So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?

You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
MwanaFalsafa1 hatusemi kuwa CCJ ni mkombozi whichever chama Mpendazoe angeamua kwenda au kubaki bila chama kwetu ni deal si lazima aende Chadema au CUF tunachoangalia hapa ni kile kitendo cha Mbunge kukihama chama impact yake ni nini kwa chama na kwa wananchi wake, kama ukituambia hakuna impact yeyote sawa wewe utabakini na imani yako na wanaosema kuna impact watabaki na imani yao, hivi wakijitoa wabunge 20 wa CCM na wakabaki hawana chama bado utasema is not a deal hadi waende Chadema au CUF you have to be serious.
 
Picha halisi ya CCJ yaanza kuonekana, ilisemwa sana kuwa CCJ ni ya vigogo watakaomeguka CCM, Makamba na Chiligati wakakana! Je utabiri wa JK Nyerere u njiani kutimia kuwa"...Upinzani wa kweli utatoka CCM" tusubiri na tuone
 
MODS
Naomba kuelimishwa kidogo .

Hivi nikiita mtu pumbavu na mwingine akaita mtu mwingine Fisadi.
Ni kipi kati ya hayo nitakuwa nimevunja sheria za JF. Ama hayo ni ruhusa ndani ya jf?? kosa ni kutaja ID tu? Naombeni ufafanuzi.
 
So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal?
Usikurupuke, kwenye post yangu sijataja CCJ hata sehemu moja. Nimetaja Chama Cha Mafisadi na nimewasuta wanaojaribu kuwabeza wenye nia ya kujitoa kwenye huo uvundo kama Mpendazoe. Hivi kweli leo kwa ujasiri unaweza kusimama na kudai CCM is the right party for Tanzanians ? One has to be sick to do that.
Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?

Bila shaka yoyote kule tu kuamua kuachana na CCM, naamini amewapa hamasa kubwa wananchi ambao wamekuwa mikononi mwa hawa manyang'au kwa miaka hamsini. Naamini pia kuwa ataungana na wapinzani wengine kulinda na kutetea maslahi ya taifa ambayo kwa sasa yako mikononi mwa wezi na wala rushwa wa CCM.
You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us".
Kama kuionea uchungu nchi yangu ndiyo unaiita simple disease, so be it. Adui mkubwa wa taifa kwa hivi sasa ni CCM na wakati wa kusimama uhesabiwe ni sasa kwani wahenga walisema linalowezekana leo lisingojee kesho. Wewe mwenye afya na unaenenepa kwa damu za walalahoi wa nchi hii, kuna siku utatakiwa kujibu kwa nini ulishiba na kusaza wakati wengine wanalala njaa.
Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
Sawa, msimamo wako nitauheshimu kwa kuwa pro-CCM ila ukumbuke kuwa taifa liko hapa lilipo kwa sababu ya CCM. Hakuna chama chochote zaidi ya CCM ambacho kimewahi kupewa uongozi wa nchi hii na wewe ni moja kati ya hao wafuata upepo asilimia 70% anaowategemea Kikwete !
 
Uinzani wa kweli bado ila kama watafanya ya fuatayo hapo tutaamini kuwa upinzani wa kweli upo.
1. watoe hoja ya kutokuwa na imani na serikali ya JK bungeni,
2. washiriki kushinikiza mgombea binafsi,
3. washawishi kuwepo na kura ya maoni ktk bunge lijalo dhidi ya nyendo za serikali kuuza nchi kwa mabepari kwa jina la uwekezaji,
4. Watangaze mali zao na jinsi walivyozipata hadharani

na kadhalika
 
MODS
Naomba kuelimishwa kidogo .

Hivi nikiita mtu pumbavu na mwingine akaita mtu mwingine Fisadi.
Ni kipi kati ya hayo nitakuwa nimevunja sheria za JF. Ama hayo ni ruhusa ndani ya jf?? kosa ni kutaja ID tu? Naombeni ufafanuzi.

MkamaP,

ina maana hujui tofauti ya kuita mtu pumbavu na kumuita fisadi? BTW - just in case unataka kuhusisha kinachoendelea hapo juu kati yangu na mtetezi wa mafisadi .... nimemwita .....well ... mtetezi wa mafisadi
 
Naomba ma mods wanieleze sheria zao zinasema je? kama wewe nimmoja wao naomba unielimishe sheria zinasema nini?

Mimi ninavyoelewa fisadi ni tusi kubwa kuliko pumbafu kama limetumika kwa mtu asiye sahihi.

pumbafufu si tusi kama mhusika ni mpumbafu, pumbafu ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.
fisadi sio tusi kama limetumika kama mhusika ni fisadi ,ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.

Kinyume chake sasa.
fisadi >>>>>>>>>>>> pumbafu.
 
Naomba ma mods wanieleze sheria zao zinasema je? kama wewe nimmoja wao naomba unielimishe sheria zinasema nini?

Mimi sio mods ... watumie PM labda watakujibu.

Mimi ninavyoelewa fisadi ni tusi kubwa kuliko pumbafu kama limetumika kwa mtu asiye sahihi.

Kumbuka pia kuwa fisadi linaendana na kitendo alichofanya mtu ... kwa hiyo mtu akifanya ufisadi .. je kuna kosa kumuita fisadi?

pumbafufu si tusi kama mhusika ni mpumbafu, pumbafu ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.

ha ha hah pumbafufu ndio nini sasa .. au ni kiporrrrrandi?

fisadi sio tusi kama limetumika kama mhusika ni fisadi ,ktk hali hii linageuka kuwa kivumishi.

Kinyume chake sasa.
fisadi >>>>>>>>>>>> pumbafu.

Naona kama ulitaka kusema kuwa .. mtetezi wa mafisadi >>>>> mafisadi
 
Mwache aende zake - ameshakuwa "liability" na angebakia CCM "tungempiga chini" katika kura za MAONI!

OFF Topic: TuskerBariiiidi? Siku hizi sikuoni mitaa yetu ya Meeda na B-Bar! Au kwa sababu Tusker imekuwa adimu?

Why Mkuu??!! .... kwa sababu anapambana na mafisadi, au?
 
Inasemekana kuna vigogo wengine sita wako njiani kujiondoa CCM; ila sina uhakika wa chama au vyama vipi watahamia .. stay tuned!
 
Mimi sio mods ... watumie PM labda watakujibu.

Kumbuka pia kuwa fisadi linaendana na kitendo alichofanya mtu ... kwa hiyo mtu akifanya ufisadi .. je kuna kosa kumuita fisadi?

ha ha hah pumbafufu ndio nini sasa .. au ni kiporrrrrandi?

Naona kama ulitaka kusema kuwa .. mtetezi wa mafisadi >>>>> mafisadi

pia unajuwa pumbafu linaenda sambamba na matendo ya mtu anayofanya.
 
Back
Top Bottom