So you are 100% sure CCJ ndiyo mkombozi? This is not about CCM. his is about CCJ. Is it the right party for Tanzanians and can it lead to a better life for us? Je Fredercik Mpendazoe angeenda chama kingene cha upinzani kama Chadema, Cuf et al mgekua mna make such a big deal? Au the big deal ni kwamba kaondoka CCM bila hata kuchambua Federcik kawa fanyia nini wananchi na anawezaje kuwasaidia wananchi akiwa upinzani?
You my friend suffer from a simple disease which is "As long as its against CCM then it's got to be good for us". Mimi sita shabikia kitu simply because its anti-CCM. Nita kishabikia kwa kukichambua na kuangalia manufaa yake.
Ndugu mwanafalsafa umeuliza swali au maswali ambayo hayatakiwa
kulizwa kwa kipindi hiki.
Sijaona sababu ya wewe kuitwa au kuonekana unatetea mafisadi post yako ya kwanza ilionyesha unavyowaza wewe. Kuna vitu viwili vinavyoendelea sasa hivi
ambavyo ni
1. CCM iondoke no matter what
2. Any one who supports CCM ni fisadi
Hizo issue mbili hapo juu ni kubwa mno na utakuja kugundua kuwa unachosema si sahihi kama tunaangalia point number moja tu. kwa sababu tumechoka then CCM iondoke! I am also agreeing with this , hivyo kwa hali ya sasa hongera na shukrani zimwendee Mpendazoe
Point ya pili ni paradox na ambayo kwa sasa is not applying due to our current situation. Hivyo kuita fisadi haimaanishi ni fisadi, au kuambiwa mtetea fisadi kwenye forum haimaainishi uko hivyo. Point number ya pili ni kuwa we need to evaluate every move ya siasa zinazoendela nchini mwetu.
Mpendazoe kaondoka well and good. the next questions is. His he for real? what makes him to decide this time? why is going to CCJ? what is he planning? CCJ inaweza isifanye uchaguzi mwaka huu, hivyo na yeye anaweza asichaguliwe, je lengo hapa ni nini? kwa nini hakwenda chadema au CUF ? Sijaona na kamwe sitaona ubaya wa kuuliza haya maswali!!! kama nina uhuru wa fikra maswali yako hayakwepeki kabisa!
Nilichofurahia sana kuhusu issue ya Mpendazoe ni kuwa kawaanika wana JF wengi sana ambao ni wanafiki wa fikra na nafasi zao
1. Kuna tabia humu ya kusifia baadhi ya wabunge na waliitwa wapiganaji, je hawa wapiganaji leo hii ukiwaweka mizani moja na mpendazoe nani zaidi?
2. Je kusifiwa kwa wale wabunge wa CCM ni upungufu wa akili zetu? kwa nini usifie baadhi ya watu ndani ya CCM na leo akiondoka huyu CCM inapondwa? ina maana wale waliokuwa wanamwaga sifa kwa wabunge wapiganaji walikuwa wanafanya hivyo kama jadi? kufuata mkumbo, au ni nini hasa?
3. Mpendazoe kaondoka, yes we are happy, je akili na uwezo wetu umefikia hatua ya kusubiri CCM imeguke? na kamani hivyo ina maana wapinzani tulio nao hamna kitu, ni debe tupu?
4. Je Mpendazoe kwenda CCJ ana maana gani?
Chadema imenzishwa mwaka 1992, na ina mizizi zaidi ya CCJ kwa nini hakwenda chadema? je mpendazoe ana itikadi au fikra za kidikteta kwa hiyo anataka akienda CCJ apewe uenyekiti, japo hatuna hakika kuwa watashiriki kwenye uchaguzi, na wakishiriki kwenye uchaguzi Mpendazoe atataka kugombea urais?
5. Je leo Chenge , Rostam wakihamia Chadema watapokelewa? na wakiondoka watakuwa wameondoka kwa sababu gani? AU let me ask this,sababu gani alizozitoa Mpendazoe kwa kuhama CCM? na hizo sababu tuna hakika gani kuwa ni genuine? how long Mpendazoe ameshakuwa ndani ya CCM? na how far are sure kuwa naye siyo fisadi?
6. Je tangu wana CCM walipohamia na kuja kwenye upinzani , how can we evaluate their efficiency? yaani nataka kujua kama Mpendazoe siyo mamluki how can we know without asking questions?
7. Mpendazoe kaondoka CCM yet hajaenda kwenye vyama vikubwa vya siasa ambavyo vingi sisi ni wapenzi wa hivyo na tunaviita mbadala, je kuna matatizo kwenye hivyo vyama? ina maana na matumaini yetu yote haya ya kuvipenda na hivi vyama hayawi appreciated ni huyu X-ccm member? hapa nachoka , ndiyo unaona maswali ya mwanafalsafa ni mazuri kwa sababu we real need to evaluate, siyo kuwa huyu anayeshabikiwa hana mawazo SAWA NA SISI??
8.Tukisema hata CCJ ni chama cha siasa na kama sisi cuf au chadema is juts ok, kwa sababu ni mpinzani, je ni mara ngaopi kuna magomvi ya wapinzani kw wapinzani, kuwa mnwanachama mmoj aakisema atakipigia kampeni NCCR basi maneno? is this not a double standard
Maswali hayo hapo juu I think are common to ask each other no matter how situation we are in, through questions, we can reasons logically, we can get reasonable answers, through questions we can explorer and find ourselves how are we fit in
These questions will also screen us to know who real know how is our enemy CCM is? However, how much Mpendazoe stimulate our political situation and our fights against corruption but we should also be able to ask ourselves freely asking is not reproaching, is only means of keeping us alive and certainly sensible people at that very time of excitation!
Kama na mimi kwa kuuliza maswali nitaonekana m'baya basi anayewatenga watu kuwa hawa ni mafisadi na hawa ni wasafi kamwe asisite kuniweka kundi moja na Mwanafalsafa. I am exercising my free thinking!!
Nimefurahi lakini lazima niulize!!
Na ni vizuri watu kuwa na vitu mnavyoamini na kusimamia ili wakati mtu usije kuumbuliwa kwa matendo. KWA imani yangu CCM wote ni mafisadi na nothing good can come out of CCM! wakitokea kama hawa ninafurahi kuwa wanahukumiwa na asili !