mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hapana niliondoka kipande hiyo siku nyingi Sana hata hiyo Complex ya Matanda ndio nasikia SASA. Zamani kule viwanja bei ilikuwa bure watu walikuwa wanaogopa uchawi.Ule mjengo mpaka leo ni wa kisasa, jamaa alikua mbele ya muda aisee, pia alikua humble and down to earth. We bado upo hayo maeneo?
Wewe utakua sio mtanzania mzawa...ukiwaona wazawa unajiskia wivu..kaa utulie.Kwanini mnapenda kutumia neno MZAWA? Ukisema Mtanzania haitoshi? Acheni ubaguzi KENGE nyie.
Umenikumbusha kwa Zege. Mtoto wa Zege Abdallah nae alikuwa na Malori na alikuwa na ukwasi. Tena kwake ilikuwa karibu na Buluba,then kwa Mwandu,Kwa Matondo,Kwa Phantom,Kwa Bob Makani. Matajiri wa Shy hasa wasukuma wakifa ndo mwisho yaani.Hakuna kitu kigumu kukitunza Kama utajiri- inahitaji succession plan ya nguvu- matajiri wengi wa shy- hawakuwekeza kwenye elimu ya watoto wao- watoto wao wengi waliendekeza starehe- na ndio waliofilisi wazazi wao- mbali na Hawa matajiri wa shirecu- huko nyuma kulikuwa na matajiri wa kiaarabu- kina Zege- mwanamduni- super diga- Hamndani- seif Hotel- shinyanga welding- wengi wao wamechoka- kidogo phantom ndie hajateteleka sana-kwa muda mrefu Yuko juu- walitutesa sana- ngoja twende sawa kidogo- Kama tuliosoma mwenge primary na Buluba- ilikuwa ni shida Sana. Hawa wachaga kina shoo na kina Gaki- anagalau wanawekeza kwenye vitu vya maana- kuliko hao waarabu na Ex- shirecu- wao ilikuwa ponda mali- kufa kwaja.
Edward alikuwa hatari. Na alikuwa hapatani kabisa na Pius Ng'wandu. Hadi Askofu Barina aliwapatanisha. Edward alikuwa na power sema mwishoni kafa hana ukwasi kama kipindi cha Shirecu. Sema alifanikiwa tu kuacha wanawake Sita official na watoto wengi mno,michepuko ndo usiseme.Duuh..walitisha aseee..[emoji28][emoji28]..naskikia mwenyekiti ngwani alikua akiingia makao makuu anatoka na gunia la pesa...kipindi hicho
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili ndiyo tatizo letu watu wa kanda ziwa . Ukiwa na mali na family nayo inakuwa extended . Ukiwa na mali wanawake wengi na watoto kibao. Hapo hiyo mali itadumuJe ?!Edward alikuwa hatari. Na alikuwa hapatani kabisa na Pius Ng'wandu. Hadi Askofu Barina aliwapatanisha. Edward alikuwa na power sema mwishoni kafa hana ukwasi kama kipindi cha Shirecu. Sema alifanikiwa tu kuacha wanawake Sita official na watoto wengi mno,michepuko ndo usiseme.
Umesema ukweli mtupu..familia nyingi zimechoka na yamebaki magofu tu..wachache sana walio weza kumaintain mpaka leo hii.Hakuna kitu kigumu kukitunza Kama utajiri- inahitaji succession plan ya nguvu- matajiri wengi wa shy- hawakuwekeza kwenye elimu ya watoto wao- watoto wao wengi waliendekeza starehe- na ndio waliofilisi wazazi wao- mbali na Hawa matajiri wa shirecu- huko nyuma kulikuwa na matajiri wa kiaarabu- kina Zege- mwanamduni- super diga- Hamndani- seif Hotel- shinyanga welding- wengi wao wamechoka- kidogo phantom ndie hajateteleka sana-kwa muda mrefu Yuko juu- walitutesa sana- ngoja twende sawa kidogo- Kama tuliosoma mwenge primary na Buluba- ilikuwa ni shida Sana. Hawa wachaga kina shoo na kina Gaki- anagalau wanawekeza kwenye vitu vya maana- kuliko hao waarabu na Ex- shirecu- wao ilikuwa ponda mali- kufa kwaja.
Huyu ndio kidume..aliishi falsafa ya wanyantuzu..ukikosa mali basi usikose hata watoto..[emoji28][emoji28]Edward alikuwa hatari. Na alikuwa hapatani kabisa na Pius Ng'wandu. Hadi Askofu Barina aliwapatanisha. Edward alikuwa na power sema mwishoni kafa hana ukwasi kama kipindi cha Shirecu. Sema alifanikiwa tu kuacha wanawake Sita official na watoto wengi mno,michepuko ndo usiseme.
Umenikumbusha kwa Zege. Mtoto wa Zege Abdallah nae alikuwa na Malori na alikuwa na ukwasi. Tena kwake ilikuwa karibu na Buluba,then kwa Mwandu,Kwa Matondo,Kwa Phantom,Kwa Bob Makani. Matajiri wa Shy hasa wasukuma wakifa ndo mwisho yaani.
[/QUOpia kuna wafugaji matajiri- ApΓ che na Gedi- jirani ya matondo na Bob
Kuna kipindi flani World vision walipanga kwny hio nyumba.Ngokolo waliiuza kwa mwarabu. Usiombe kuishiwa.
Aliamini wachaga wote walim support Lowassa Ile 2015.,kwa sababu ni wa kaskazini.Magufuli alikuwa apendi wachaga hata kama walikuwa marafiki
Mtoto wake anaeitwa Ibrahim Paul Ng'a... alikuaga chalii angu Sana enzi hizo.Ngokolo waliiuza kwa mwarabu. Usiombe kuishiwa.
ππππ Wakina Buzinza,Surra waliokula Maisha kishenzi enzi hizo.Mwenyekiti Ngwani..daah enzi hizo..kimsingi shirecu ilikua ni [emoji91][emoji91]..wakina sull..kabizi..minzi..mbogo..kunze..magulu..kiloba ..na wengine wengi..hakika wanyantuzu walitake over.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ na anaishi karibu na kwa Bubinza hapo mwasele.Mzee Sulla last time napita Shy alikua na ka saccoss pale NSSF naona bado anajitahidi kujifanya boss.
Walikua wanadanganya Kuna nyoka wao eti anataga hela ndani(uchawi) wkt ukweli ni Kwamba majamaa yalichota hela huko Shirecu Ila yalikua yanazuga eti hela ni za uchawi.Kina Ng'wani, wana nyumba karibu kila kata.
Hao kinda Gaki, Shoo na Mbuzi (jambo) walikua wajanja unaona wamekuja kudivert funds na kujenga viwanda tofauti na kutegemea pambaHakuna kitu kigumu kukitunza Kama utajiri- inahitaji succession plan ya nguvu- matajiri wengi wa shy- hawakuwekeza kwenye elimu ya watoto wao- watoto wao wengi waliendekeza starehe- na ndio waliofilisi wazazi wao- mbali na Hawa matajiri wa shirecu- huko nyuma kulikuwa na matajiri wa kiaarabu- kina Zege- mwanamduni- super diga- Hamndani- seif Hotel- shinyanga welding- wengi wao wamechoka- kidogo phantom ndie hajateteleka sana-kwa muda mrefu Yuko juu- walitutesa sana- ngoja twende sawa kidogo- Kama tuliosoma mwenge primary na Buluba- ilikuwa ni shida Sana. Hawa wachaga kina shoo na kina Gaki- anagalau wanawekeza kwenye vitu vya maana- kuliko hao waarabu na Ex- shirecu- wao ilikuwa ponda mali- kufa kwaja.
Mkuu usiongee tu, frester ni kampun kubwa kuliko unavyo fikiri, hakosi bus 50 yuleHuyo ni mwehu mmoja hivi hata undgu hawana,toka lini tajiri akamiliki mabasi ...ukiwa na mabasi ni mateso tupu
Mkuu usiongee tu, frester ni kampun kubwa kuliko unavyo fikiri, hakosi bus 50 yule