Huko ccm mbona kina Sofia Simba, Nchimbi, Adam Kimbisa waliwahi kuimba wana imani na Lowasa lakini walisamehewa yeye alikosea wapi?Aliwahi kwenda chadema, akapewa na uongozi wa kanda, nadhan magu alimfinya, akarudi, but haikua sawa tena
Watu wenyeFredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.
Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?
Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?
Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?
Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Watu wenye akili hawaropokiropoki. Wanaoropokaropoka unajua wako wapi!Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.
Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?
Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?
Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?
Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Ndiyo yeye . Kwa nini kawa nadra sana?Sijui ndiyo huyu
ULinzi unapewa, ikiwa hujapewa na huna pesa za kuweka ulinzi wako inabidi uwe mwananchi mwema.Namkubali sana sumaye Hana makuu kuna siku nilimuona Morogoro anatembea Kwa miguu mjini nilishangaa sana tena peke yake bila ulinzi.
Anaumwa? Au naye tutasikia kafariki ghafla?Afya
Yani waziri mkuu miaka kumi hana chochote cha kuchangia kwenye siasa za nchi hii?Alibatizwa Mr ziro
Wenye nini?Watu wenye
Pinda mfumo.Haalikwi ashirikishwi popote, naona Pinda tu mara nje ya nchi kama msimamizi uchaguzi, huku ndani hafla tofauti laki Sumaye hata sura tuliisha isahau.
Alifanya kosa gani kubwa kiasi hatakiwi kionekana popote?
Nchi hii ukiona ccm wanakutenga jua labda wewe mtandao haumo.Pinda mfumo.
Si walisema ukishakatwa mkia hata ukirudi unakuwa tofauti na wenzio.
UMri umeenda pia , ameamua kujipumzisha nje ya siasa.
labda alishakufa, huwezi jua. Utawala huu kila kitu kinawezekanaFredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.
Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?
Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?
Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?
Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Inawezekana "labda".labda alishakufa, huwezi jua. Utawala huu kila kitu kinawezekana