nchi hii kila kirtu kinawezekana mana kuna IMPUNITY of the highest degreeInawezekana "labda".
nchi hii kila kirtu kinawezekana mana kuna IMPUNITY of the highest degreeInawezekana "labda".
Kwa umri hapana, maana Sumaye ni mdogo kwa mzee Warioba.UMri umeenda pia , ameamua kujipumzisha nje ya siasa.
I believe you.nchi hii kila kirtu kinawezekana mana kuna IMPUNITY of the highest degree
Lakini alikuwa vocal sana kipindi cha Magu na walipomzingua alihama chama, ili akapate jukwaa la kuongelea.Kwa umri hapana, maana Sumaye ni mdogo kwa mzee Warioba.
Nadhani Sumaye ni miongoni mwa wale wazee wabinafsi na "don't care".
Hajali shida za wengine kwa kuwa yeye anashiba
Tumia kiswahili ili kuepusha aibu ndogondogo.I believe you.
AsanteTumia kiswahili ili kuepusha aibu ndogondogo.
Alifariki Lowasa na Msuya. Sumaye, Pinda, na Majaliwa ni wazima.Hadi kuna siku nikawa nabishana na jamaa anasema Sumaye alishafariki. Nikamwambia yupo ila kala buyu tu
Kuna muda inabidi kukaa kimya ili mambo yako yaendeLakini alikuwa vocal sana kipindi cha Magu na walipomzingua alihama chama, ili akapate jukwaa la kuongelea.
Sasa Karudi CCM kwanini hakosoi au hata kushauri au ndio anashauri kimya kimya kwa maandishi?
Ubinafsi huo ulianza alipotoka chadema kurudi ccm au ulianza lini?
Mambo ni mengi nakubali, maana nakumbuka Makonda alipima shamba la Sumaye kule Mabwepande na likauzwa kama viwanja.Kuna muda inabidi kukaa kimya ili mambo yako yaende
Mambo ni mengi nakubali, maana nakumbuka Makonda alipima shamba la Sumaye kule Mabwepande na likauzwa kama viwanja.
Naona hiyo ilikuwa wake up call kwake akaamua kutulia kabisa kulinda mashamba ya Morogoro.
Huyu baada ya kwenda na kurudi upinzani .ccm haaminiki tena sasa kaona bora akae kimya ale pensheni yake vizuri.pia hana mvuto kwa sasa hata akiongea hakuna wa kumsikiliza.Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.
Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?
Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?
Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?
Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Pia anajulikana Mr speed gavana, walileta huo mradi na hayati Charles Keenja ambao walioa familia mojaAlibatizwa Mr ziro
Hukumuona mtu aliyefanana nae kweli?Namkubali sana sumaye Hana makuu kuna siku nilimuona Morogoro anatembea Kwa miguu mjini nilishangaa sana tena peke yake bila ulinzi.
Hana mvuto au hana hoja? Mvuto wa nini hasa.Huyu baada ya kwenda na kurudi upinzani .ccm haaminiki tena sasa kaona bora akae kimya ale pensheni yake vizuri.pia hana mvuto kwa sasa hata akiongea hakuna wa kumsikiliza.
Hata mimi ahisi hivyoHukumuona mtu aliyefanana nae kweli?