Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

Okay well kumkumbuka.

Ila Sumaye alipotezwa na Mbowe kisiasa .

Sumaye alikuwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani .

Na mwaka 2019 aligombea nafasi hiyo hiyo .

Na alikuwa Peke yake Ila akapata kura za hapana zote . hivyo hakakosa nafasi

Kwanini alipata kura za hapana hiyo ilikuwa mbinu ya Mbowe kumpunguza nguvu ili asigombee uenyekiti wa Chadema .

Baada ya kurudi Ccm amekuta nafasi yake pia haipo.

Na kiasilii Sumaye sio Chawa au MTU wa kujipendekeza anapenda Private life zaidi.

Swala la kutomtumia au kumtumia inatokana na utawala uliiopo madarkani .
CCM hawoni umuhimu wake kabisa?

Mbona Benard Membe walimrudisha na waliendelea kumtumia mpaka alipokutana na Corona.

Sema labda yeye siyo wa Mtandao.
 
Inategemea wewe ulitegemea afanye nini zaidi mkuu ?
Siyo mjumbe kamati kuu wala halmashauri kuu, siyo kitu siyo chochote atafanya nini?

Pinda anaonekana akisimamia chaguzi huko nje, anaonekana Saba saba.

Sumaye hata kwenye fundrising ya chama cha mtandao hakuwepo, yani hana uzuri au mchango wowote?
 
Wewe mpaka umuone ndo ujue anafanya Kazi

Sumaye anaishi Low key mfatilie since 2005 hapendi bragging Ana prefer private life .
 
Lakini alikuwa vocal sana kipindi cha Magu na walipomzingua alihama chama, ili akapate jukwaa la kuongelea.

Sasa Karudi CCM kwanini hakosoi au hata kushauri au ndio anashauri kimya kimya kwa maandishi?

Ubinafsi huo ulianza alipotoka chadema kurudi ccm au ulianza lini?
Alikihama chama akapigwa dafrau na Magu kwa kuporwa maeneo makubwa tu aliokuwa anaringia huko Morogoro nadhani😁 akaambiwa akiendelea kukaza fuvu watatekenya kende zake pia. Akarudi CCM fasta na kupiga kimya.
 
Ukishasaliti kambi huwezi kurudi ukapewa priority sawa na wale wafia chama. Unaonekana snitch tu huwezi aminika tena. Unakuw kama pandikizi la upinzani.😂
Ahaa mbona kina Katambi ni mawaziri, na wengine wakuu wa wilaya au jambi ni ccm pekee?
Na mbona Wasira yeye alihama na anaaminika?
 
Alikihama chama akapigwa dafrau na Magu kwa kuporwa maeneo makubwa tu aliokuwa anaringia huko Morogoro nadhani😁 akaambiwa akiendelea kukaza fuvu watatekenya kende zake pia. Akarudi CCM fasta na kupiga kimya.
Magu aliisha ondoka ndio maana unaona kina Seth singh leo ni wachangiaji wa chama cha mtandao. Rugemarila wako huru.

Huyu Sumaye tu ndiye makosa yake haya sameheki au aliamua tu yeye asijipendekeze, au yuko kizuizini?
 
Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa.

Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu?

Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili?

Tangu atoke chadema hasikiki kabisa, au alipigwa ban ya jumla huko ccm?

Pinda anaonekana sana, lakini huyu Sumaye utadhani kahama nchi au yuko kizuizini?
Mr Zero na yale masikio hawezi kuwa na mchango wowote kwa Taifa hili
 
Lakini alikuwa vocal sana kipindi cha Magu na walipomzingua alihama chama, ili akapate jukwaa la kuongelea.

Sasa Karudi CCM kwanini hakosoi au hata kushauri au ndio anashauri kimya kimya kwa maandishi?

Ubinafsi huo ulianza alipotoka chadema kurudi ccm au ulianza lini?
Ile kuhamia Chadema walimuona msaliti,wakaondoa kinga.Alipoonja joto la jiwe,walianza kumuandama kuhusi umilikaji wa ardhi huko Morogoro.

Hata kule alipokuwa amehamia ikafika muda akataka kugombea kiti cha Mwenyekiti ndipo mwenye chama chake alipomwambia sumu haionjwi.
 
Licha ya kuwa waziri mkuu kwa miaka 10 nchi hii hii?
Ukiona MTU ana kichwa kidogo au mviringo ujue anakuwa poor Cognitive ability .

Kwahiyo yeye kuwa PM hakikuwa Kazi ngumu .

Ila ukweli unajulikana kuwa jamaa chenga
 
Back
Top Bottom