Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

CCM hawoni umuhimu wake kabisa?

Mbona Benard Membe walimrudisha na waliendelea kumtumia mpaka alipokutana na Corona.

Sema labda yeye siyo wa Mtandao.
 
Inategemea wewe ulitegemea afanye nini zaidi mkuu ?
Siyo mjumbe kamati kuu wala halmashauri kuu, siyo kitu siyo chochote atafanya nini?

Pinda anaonekana akisimamia chaguzi huko nje, anaonekana Saba saba.

Sumaye hata kwenye fundrising ya chama cha mtandao hakuwepo, yani hana uzuri au mchango wowote?
 
Wewe mpaka umuone ndo ujue anafanya Kazi

Sumaye anaishi Low key mfatilie since 2005 hapendi bragging Ana prefer private life .
 
Alikihama chama akapigwa dafrau na Magu kwa kuporwa maeneo makubwa tu aliokuwa anaringia huko Morogoro nadhani😁 akaambiwa akiendelea kukaza fuvu watatekenya kende zake pia. Akarudi CCM fasta na kupiga kimya.
 
Aliisha rejea ccm bado anafunga mdomo?
Ukishasaliti kambi huwezi kurudi ukapewa priority sawa na wale wafia chama. Unaonekana snitch tu huwezi aminika tena. Unakuw kama pandikizi la upinzani.😂
 
Ukishasaliti kambi huwezi kurudi ukapewa priority sawa na wale wafia chama. Unaonekana snitch tu huwezi aminika tena. Unakuw kama pandikizi la upinzani.😂
Ahaa mbona kina Katambi ni mawaziri, na wengine wakuu wa wilaya au jambi ni ccm pekee?
Na mbona Wasira yeye alihama na anaaminika?
 
Alikihama chama akapigwa dafrau na Magu kwa kuporwa maeneo makubwa tu aliokuwa anaringia huko Morogoro nadhani😁 akaambiwa akiendelea kukaza fuvu watatekenya kende zake pia. Akarudi CCM fasta na kupiga kimya.
Magu aliisha ondoka ndio maana unaona kina Seth singh leo ni wachangiaji wa chama cha mtandao. Rugemarila wako huru.

Huyu Sumaye tu ndiye makosa yake haya sameheki au aliamua tu yeye asijipendekeze, au yuko kizuizini?
 
Mr Zero na yale masikio hawezi kuwa na mchango wowote kwa Taifa hili
 
Ile kuhamia Chadema walimuona msaliti,wakaondoa kinga.Alipoonja joto la jiwe,walianza kumuandama kuhusi umilikaji wa ardhi huko Morogoro.

Hata kule alipokuwa amehamia ikafika muda akataka kugombea kiti cha Mwenyekiti ndipo mwenye chama chake alipomwambia sumu haionjwi.
 
Licha ya kuwa waziri mkuu kwa miaka 10 nchi hii hii?
Ukiona MTU ana kichwa kidogo au mviringo ujue anakuwa poor Cognitive ability .

Kwahiyo yeye kuwa PM hakikuwa Kazi ngumu .

Ila ukweli unajulikana kuwa jamaa chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…