free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

basi la guru limegonga mti juz jion.. some wamedead papohapo wengine majeruhi wanapumulia mpira hospital
umetowa wapi habari hizo? under 18 bwana .....
 


dah hii kidogo kama vile complicated but i have to try!!
 
utamu uko palepale
mkuu paje vigezo na masharti muhim
 
Kaka Paje chungulia pm, nimeweka settings zote lakini kuna error zinanzingua spat net!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sisi wengine tuwageni hapa unaposema pm sijui unakusudia nini nami nimevutika na mautundu yahapa.tafadhali nisaidie.
 
nahitaji huduma hiyo lakini sijakuelewa nitaku pm how nieleweshe
 
acheni ukuda kama hamtaki kumwaga hapa mautundu
modereta nyofoa nyuzi kama hizi
 
Sogeza mouse yako pale kwenye jina la mtu (mfano: Fadhili Paulo) huwa upande wa kushoto, kisha click kidogo hilo jina na zitadrop down option hizi: ''View Profile, Private message, Add as Contact na View forum posts'', sasa click hapo penye neno ''Private Message'' na utapelekwa kwenye ukurasa wa private na utanitumia mimi sms ya private ambayo ni mimi na wewe tu tutaisoma. Na kifupi cha private message ni PM, kwa humu jf lakini, kumbe ukienda bungeni ni Prime Minister.

Haya changamka nitumie mimi moja.

acheni ukuda kama hamtaki kumwaga hapa mautundu
modereta nyofoa nyuzi kama hizi
 
baada ya chochoro nyingi kujifunga guru bado inaendelea , ukitaka kuboresha vyema hakikisha kama kwenye computer yako imo connectify dispatch itoe. na tumia bila ya dispatch. utapata 400-500KB/s
hiii sijui kwa nini inakuwa na ukorofi na connectify dispatch......
lakini inafanya vyema bila ya kutumia connectify dispatch.....
 
Kwi! kwi! kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Hakuna kama Guru! hadi sisi ma-LENA tupo tunashusha ma-tertebyte bureeeeeeeeeee! Mabasi mawili yote yanachapa mwendo kama kawaida.
 
hiyo hata kwa pd ipo... ni angry programs hazipatan hata kidogo,,, mkuu weaknes nyengine nimeiona windows haijiupdate??? hata antivirus hivohivo... nimejaribu both vpn na proxifier., naona bado pd wapo juu kwa hawa jamaa..
 
hiyo hata kwa pd ipo... ni angry programs hazipatan hata kidogo,,, mkuu weaknes nyengine nimeiona windows haijiupdate??? hata antivirus hivohivo... nimejaribu both vpn na proxifier., naona bado pd wapo juu kwa hawa jamaa..
labda imekushinda settings tu mkuu. ni antivirus gani hiyo nikusaidie? na kuhusu windows update unatakiwa uifanyie configuration internet explorer kutumia proxy husika. windows ita update kama kawaida.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…