Freeman Mbowe acha kumsakama Mzee Kikwete, mwache apumzike

Sawa mtoto wa Vasco da Gama!
 
Unayemtetea ni mtoto wa Magomeni. Akina Husein Macheni wanaMJUA, na wengi mjengoni kawakata spring.

Usishoboke sana, mwambie jamaa yako awe na low gear maana sisi wananchi tumeshamgundua si mwema kwetu
 
Akitumia mali za umma pasipostahili lazima awe agenda labda kama haujitambui na inatakiwa kuwa agenda kwa kila mtazania ili huyo mstaafu afikishwe mahakamani.
akitumia 🐒
nimezingatia neno akitumia 🐒
So, it is next time right 🐒

angalau hiyo ndio ingekua hoja hata ivo ni mpaka uilazimishe sana ili ilete maana 🐒

But kua na gubu binafsi na mambo ya mtu Mwingine ni kitu mbaya sana 🐒
 
Kikwete anaposafiri Kuna kazi anaenda kufanya haendi kuzurula kama una wivu na kusafiri kwa kikwete nenda kamuombe awe babaako
Kazi gani anaenda kufanya wakati ameshastaafu na anakula marupurupu ya kutosha kuliko mstaafu yoyote hapa nchini.?!
 
Ni upuuzi na ujinga wa Machadema kukosa akili na hoja.

Yaani watu wanaacha kazi zao kuja kusikiliza huo ujinga?
 

Umeandika kinafiki. Sema Kikwete wako, usiseme Kikwete wetu. Yawezekana wewe ni mtoto wake, ni halali kwako kusema Kikwete wako. Yawezekana wewe ni mkewe, ni halali kwako kusema kuseme ni Kikwete wako, lakini hawezi kuwa ni Kikwete wa kila mtu!!
 
Mh. Huyu atambue kelele zote hizi zinaanzishwa na wale wale aliowaamini na kudhani wampa favour. Wakishakugundua huna tena faida kwao wanakuwa flash kama TP; Africans learn to be independent and content with whatever small you can get for yourself

Tutaona kama bado wanamhitaji ama la kwenye huo uchaguzi fake wakutafuta coordinator Mkuu wa ma agent wa hao mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…