Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

Yaan mbio zote hizo hata picha ya mpendwa wetu imekosekana akiwa kanisani🤔🤔🤔
 
Hivi nyinyi kila siku kumtukana marehemu lakini ukimkashifu Mbowe moderator anakuban ila kutukana wengine sawa! Mfano mi aliniban siku saba lakini kuna watu humu kila siku kutukana wengine wako huru tu! Moderator kama wewe ni CHADEMA useme tu! Kuwa moderator sio mchezo lazima uwe na kifua! Hukunifanyia fair!
Gaidi tulishalifukia kule Chato
 
Hivi nyinyi kila siku kumtukana marehemu lakini ukimkashifu Mbowe moderator anakuban ila kutukana wengine sawa! Mfano mi aliniban siku saba lakini kuna watu humu kila siku kutukana wengine wako huru tu! Moderator kama wewe ni CHADEMA useme tu! Kuwa moderator sio mchezo lazima uwe na kifua! Hukunifanyia fair!
Wewe ulimtukana nani ?
 
Back
Top Bottom