Yes na Baba yako na mama yako tulikuwa wote.Nahisi alikugaidia mamayo na wewe mwenyewe ndio maana.
Ukiona hilo neno halijakurudhisha utulize kalio lako na heshima zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes na Baba yako na mama yako tulikuwa wote.Nahisi alikugaidia mamayo na wewe mwenyewe ndio maana.
Ukiona hilo neno halijakurudhisha utulize kalio lako na heshima zako.
Na usinipangie chakufanya sengere wee.Nahisi alikugaidia mamayo na wewe mwenyewe ndio maana.
Ukiona hilo neno halijakurudhisha utulize kalio lako na heshima zako.
Tulia dawa ikuingie kenge wewe, gaidi lipo chato hukoHivi nyinyi kila siku kumtukana marehemu lakini ukimkashifu Mbowe moderator anakuban ila kutukana wengine sawa! Mfano mi aliniban siku saba lakini kuna watu humu kila siku kutukana wengine wako huru tu! Moderator kama wewe ni CHADEMA useme tu! Kuwa moderator sio mchezo lazima uwe na kifua! Hukunifanyia fair!
Gaidi kaenda ikulu wewe mchimba chumvi upo sebleni kwa shemeji yako bila aibuMbowe gaidi
Kaenda kupewa onyo.Gaidi kaenda ikulu wewe mchimba chumvi upo sebleni kwa shemeji yako bila aibu
Huyu anachukulia ugaidi kwa lugha ya mitaani tuHata ukiulizwa ugaidi ni nini utaishia kutumbua macho tu.
Mungu tunaomba utuondolee huyu MTU maana Hana maana yoyote chini ya jua.Arudie tena kufanya ugaidi.
Utaanza wewe.na sote tutakufaMungu tunaomba utuondolee huyu MTU maana Hana maana yoyote chini ya jua.
Ohoooooo !Gaidi kaenda ikulu wewe mchimba chumvi upo sebleni kwa shemeji yako bila aibu
Wamependeza! God Bless.Picha baada ya Ibada ya shukrani, Enzi za jiwe waangefurumushwa na wahuni wake...
View attachment 2141071
Ukweli Ni Kama mimba! Haufichiki.Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu.
=========
Freeman Mbowe: Leo nimewaona wakristo wenzangu, sikusudii kuzungumza mengi zaidi ya shukrani. Nimepata hofu sana na hofu kubwa inayonikabili sio mimi kuishi gerezani ila Mungu atanipa uwezo gani wa kulipa mapenzi, sala na misaada mbalimbali ya dunia ambayo iliniandama nikiwa gerezani.
Watu wengi wamelia na mimi, watu wengi wamelia na familia yangu, watu wengi wa vyama vyote, wa Serikali wamefanya sala, wamefunga kwaajili yangu.
Nimeshtakiwa kwa kosa zito sana, ambalo inawezekana wengine wanaona tu ni ugaini lakini hawajui tafsiri ya neno gaidi. Shtaka lolote chini ya ugaidi lina kifungo cha miaka 15 kwa uchache hadi miaka 30 na hakuna faini.
Watu wengi na watu wote walikuwa wanaomba mara kwa mara mtoeni Mbowe, futeni mashtaka ya Mbowe. Mimi nilikuwa naomba msifute mashtaka haya hadi ukweli udhihirike, nilitamani nisikie hao walionituhumu kwa ugaidi watatoa huo ushahidi upi ili dunia ielewe.
Kulikuwa na mahakama ya mahakamani na kulikuwa na mahakama ya umma, sasa hayo yote tuyaache. Nilishukuru sana niliposikia upande wa Jamhuri umefunga ushahidi wake, nikasema Mungu asante iache dunia iamue kwa ushahidi huu kama kweli nilikuwa gaidi, watu wamenipa upendo wa ajabu sijui nitawalipa nini.
Magereza wananiambia tangu tumeanza magereza hii kwa umri wetu wa utumishi hatujawahi kuona mfungwa anayepata wageni wengi kama wewe. Siku ambayo nimepata wageni wengi walikuwa 214, nikalazimika kuweka register ya wageni wote wanaokuja kunipa pole lakini miezi nane haikupotea bure, nimepata muda wa kusoma, kuandika.
Weka akiba ya manenoArudie tena kufanya ugaidi.
AminaWahusika walaniwe mbinguni na duniani.
Basi jitie hidole vya uchi halafu upeleke puani harufu utakayoisikia njoo utuelezee hapa.Na usinipangie chakufanya sengere wee.
Hawakua huko na wala sikusema mbowe ni gaidi kwa vile wewe umesema ni gaidi na sisi hatufahamu kama ni gaidi kwasababu hakuna aliyethibitisha kwamba ni gaidi wewe uliyesema ni gaidi alikugaidia mamayo na babayo ndio ukamuita gaidi.Yes na Baba yako na mama yako tulikuwa wote.
Amina.Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu.