Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

Hivi nyinyi kila siku kumtukana marehemu lakini ukimkashifu Mbowe moderator anakuban ila kutukana wengine sawa! Mfano mi aliniban siku saba lakini kuna watu humu kila siku kutukana wengine wako huru tu! Moderator kama wewe ni CHADEMA useme tu! Kuwa moderator sio mchezo lazima uwe na kifua! Hukunifanyia fair!
Hizi misukule za chadema hazijielewi.
 
Picha baada ya Ibada ya shukrani, Enzi za jiwe waangefurumushwa na wahuni wake...

1646569983235.png
 
Back
Top Bottom