Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

Nahisi alikugaidia mamayo na wewe mwenyewe ndio maana.

Ukiona hilo neno halijakurudhisha utulize kalio lako na heshima zako.
Yes na Baba yako na mama yako tulikuwa wote.
 
Nahisi alikugaidia mamayo na wewe mwenyewe ndio maana.

Ukiona hilo neno halijakurudhisha utulize kalio lako na heshima zako.
Na usinipangie chakufanya sengere wee.
 
Tulia dawa ikuingie kenge wewe, gaidi lipo chato huko
 
Ukweli Ni Kama mimba! Haufichiki.
 
Yes na Baba yako na mama yako tulikuwa wote.
Hawakua huko na wala sikusema mbowe ni gaidi kwa vile wewe umesema ni gaidi na sisi hatufahamu kama ni gaidi kwasababu hakuna aliyethibitisha kwamba ni gaidi wewe uliyesema ni gaidi alikugaidia mamayo na babayo ndio ukamuita gaidi.
 
Amina.
Mungu azidi kukutia nguvu na mkuu wa Mungu uzidi kuzihirika ndani yako na kukutengeneza zaidi.
Amina
 
Sadaka huwa haliendi bure itajibu kadiri ya manuizo yake Amen
 
MBOWE ATOA KALI, ADAI HAKUTAKA KESI IFUTWE, ALITAKA IENDELEE ILI DUNIA IUJUE UKWELI

"Watu wengi walivyokuwa wanaomba mara kwa mara, 'mtoeni Mbowe, futeni mashtaka ya Mbowe,' mimi nilikuwa naomba msifute mashtaka haya hadi ukweli udhihirike. Nilitamani nisikie walionituhumu kwa ugaidi watatoa ushahidi upi, ili dunia ielewe."- Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…