Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu Mwamba huyuMwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097
Mkuu acha ukauzu kwenye maisha.Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu
Mbowe ni mtu wa Pwani , muangalie na hapaHivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu
Kanzu vazi la heshima waulize kwann maaskofu wanavaa kanzu ndo utajua hujuiHivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu
Ni busara kukaa kimya wakati mwingine ili kuacha shaka juu ya upumbavu wako kuliko kufungua kinywa chako na kuondoa hata ile punje ya shaka ya kuwa upumbavu.Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?
Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu
Huyo nyuma yake ni Adamoo au Bwire?Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097
Hii ndio busara yako?Ni busara kukaa kimya wakati mwingine ili kuacha shaka juu ya upumbavu wako kuliko kufungua kinywa chako na kuondoa hata ile punje ya shaka ya kuwa upumbavu.
Kanzu ni vazi tu na si uwakilishaji wa kidini kama unavyotaka kumaanisha, hivyo hakuna maigizo bali usahihi wa vazi husika kwa hafla/shughuli husika. Ingekuwa kichekesho endapo angevaa tracksuit ama kipensi ikiwa amekwenda msibani.
Siku nyingine tafakari kabla ya kuandika.
Aaa wapi anadanganya tu😂
Kanzu za kizimkazi na kanzu za maaskofu ni tofauti kimuonekano usichanganye.Kanzu vazi la heshima waulize kwann maaskofu wanavaa kanzu ndo utajua hujui
Mungu Ibariki CHADEMAMwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097
Watu wana stress za kufa mtu😁Aisee!!
Kwan Kuna kosa Gani hapo mkuu nililofanya kwenye comment yangu?
Nimemshangaa sana huyo jamaa au ndio psychiatric case?Huna haja ya kupaniki mkuu tulia🤣
Mimi nimechokoza nilitegenea jibu la akili na sio mkurupuko na mastressMkuu acha ukauzu kwenye maisha.
Tunaenda na mazingira, mila na tamaduni.
Ndio maana Makonda akienda umasaini anavaa Shuka begani.
Sio maigizo bali ni kushiriki mila na desturi za watu wa hapo ni furaha na inaleta raha.
Kuna watu wagonjwa wa akili ndio nimewachokoza kwa post # 2, naendelea kuwaorodhesha wagonjwa kwa majibu yao🤣Nimemshangaa sana huyo jamaa au ndio psychiatric case?