Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Ficha ujinga wako...Acha udini hautakupeleka sehemu nzuri kwani mwisho wake ni mbaya sana.
Mgonjwa wa akili mwingine huyu hapa🤣🤣🤣🤣

Jibu hoja wewe kimer
 
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .

Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu

View attachment 2922096View attachment 2922097

Hakudai nafasi ya kusema!
 
Mkuu acha ukauzu kwenye maisha.

Tunaenda na mazingira, mila na tamaduni.

Ndio maana Makonda akienda umasaini anavaa Shuka begani.

Sio maigizo bali ni kushiriki mila na desturi za watu wa hapo ni furaha na inaleta raha.
F--PeDjW0AAjtCl.jpg
 
Laigwanan Abubakar Mwamba Mboweyou
Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?

Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂
Acha wivu roho mbaya mpaka misibani...
 
Makamanda wengine kina Lema, Sugu, Heche, Lissu wako wapi? Nimeshangaa sisikii Lema akilalamika kutopewa nafasi ya kuzungumza msibani.
 
Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?

Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)[emoji23]
Chuki itakutafuna vizuri. Na wewe rudi uvae magamba ya miti au uchi kabisa.
 
Back
Top Bottom