Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Unaelewa state dressing?
Hapana lakini nafikiri World Cup sio state dressing pia ila hata huko Qatar sikumuona Morgan Freeman, David Beckham, Elon Musk, Infantino au watu wengine mashuhuri kutoka West wakiwa wamevaa kanzu.
 
Mbona Marais au viongozi wa Marekani wakienda uarabuni huwa hawavai kanzu na baraghashia ?!
Kwa sababu wameamua, kuna mkutano wa nchi za ASEAN rais wa Marekani alivaa ki Indonesia.

Pia, kuvaa kanzu na barghashia si sehemu ya utamaduni wa Marekani. Kanzu na barghashia ni sehemu ya mavazi ya watu Tanzania hivyo si ajabu kiongozi wa kitaifa anayejenga umoja wa kitaifa Tanzania kuvaa kanzu na barghashia.
 
Ukitaka matusi na kashfa nikupe taarifa mimi ndiye niliyempa shetani mapendekezo ya matusi mazito.

Uache ujinga na uchawa mbweha wewe.
Zaidi ya kuwa Masikini huna lolote jingine
 
Mungu Ibariki CHADEMA
Chadema walaaniwe kisawasawa hakika,kama nchi tumeingiliwa kuwa na kampuni binafsi kuwa chama cha upinzani .Hakika CCM itatawala milele na milele.Watanzania msiposhtuka mtapigishwa kwata na hizi kampuni binafsi kwa mgongo wa siasa hadi KIAMA.
 
Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?

Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂
Kuvaa kanzu hakuna tofauti na kuvaa suti. Na sio mbaya kuvaa kutegemea na jamii mahalia. Na kama unafikiri kuvaa kanzu ni maigizo, vipi kuvaa suti nzito kwenye joto kama Dar es Salaam? Ahahahahaha!!!
 
Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?

Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂
Hakuna kuigiza,haya ni mavazi Yesu, wote wamevaa mavazi haya.Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu yake).Muhammad(Rehema na amani ziwe juu yake),amemtaja sana Yesu.
 
Moja ya watu bora kuwepo Tanzania ni pamoja na Aboubakari Mbowe the guy is smarter ,intelligent , humbleness , Goodness, kindness and God fearing person.

Umelinda HESHIMA yako ,Utu ,maadili na kuunganisha taifa
 
Anakosea saana kulea uchagga pale kwenye chama ,leo nimeshangaa sana hajaambatana na Lema
 
Kwa sababu wameamua, kuna mkutano wa nchi za ASEAN rais wa Marekani alivaa ki Indonesia.

Pia, kuvaa kanzu na barghashia si sehemu ya utamaduni wa Marekani. Kanzu na barghashia ni sehemu ya mavazi ya watu Tanzania hivyo si ajabu kiongozi wa kitaifa anayejenga umoja wa kitaifa Tanzania kuvaa kanzu na barghashia.
Sijawahi kuwaona Nyerere na Mkapa katika kanzu, Nyerere labda baraghashia, ila jiwe alikuwa anapenda sana kuvaa kanzu pamoja na salamu nyingi za kidini.
 
Sijawahi kuwaona Nyerere na Mkapa katika kanzu, Nyerere labda baraghashia, ila jiwe alikuwa anapenda sana kuvaa kanzu pamoja na salamu nyingi za kidini.
Kanzu ni vazi tu. Muhimu zaidi ni mawazo ya mtu.

Ila kama kawaida, tunaacha ya msingi, tunashughulika na muonekano.
 
Back
Top Bottom