Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Familia wameshindwa kitumia busara …kuwapa ACT Nafasi ya kutoa pole kama Chama mshirika kwenye SMZ?Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu
View attachment 2922096View attachment 2922097