Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .

Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa chama chake Salum Mwalimu

View attachment 2922096View attachment 2922097
Mzee ana bahati huyu ,amefanikiwa kutumia saccos kwa mlango wa siasa
 
They are all idiots
Calling them idiots is a bit extreme. It’s just contributed by naivety they’ve been naive.

So to say they still learning to get experience and how to make good judgments.
 
Kanzu vazi la heshima waulize kwann maaskofu wanavaa kanzu ndo utajua hujui
Ni Vazi la Kimila la Watu wa Mashariki ya Kati ni sawa na sisi Migolole yetu ambayo tulioambiwa ni ya Kishenzi na tukaamini.
 
Walishazoea kila kitu ni siasa ,nadhani bado anatafakari atoe tamko la ana gani kisiasa kupitia msiba wa mzee wetu ,yupe kenge wa Arusha nae baso hajaropoka pia
 
Kanzu za kizimkazi na kanzu za maaskofu ni tofauti kimuonekano usichanganye.

Kama ni vazi la kawaida kwanini Mbowe avae tu kwenye mikusanyiko ya kidini ya kiislam na sio kwenye kampeni au kanisani?
Sahihi
 
Posho imeshaingia ya safari kwa mheshimiwa mwenyekiti na pacha ya kutundika ukutani ofisi za Chadema mumepata hongereni.Kaishia kupiga pacha tu hajapewa hata nafasi ya kupunga mkono tu
 
Posho imeshaingia ya safari kwa mheshimiwa mwenyekiti na pacha ya kutundika ukutani ofisi za Chadema mumepata hongereni.Kaishia kupiga pacha tu hajapewa hata nafasi ya kupunga mkono tu
Marehemu huwa hawaoni mikono inayopungwa
 
Hivi huwa kuna ulazima kuigiza uvaaji wa kanzu?

Maana haya ni maigizo kwa kamanda wetu ( nasubiria koment za wagonjwa wa akili)😂
Anatukuza uarabu, eti anaitwa ustaadh aboubakar! Ujinga tuu mbona Duni alipokuwa mgombea mwenza hawakumuita Mathayo?
 
Back
Top Bottom